Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,439
Swali,tamaa ya kupata mume mwingine nje ya mume wake?
Halafu hawajui kwamba hata huyo jamaa akishamuoa na yeye mambo yanabadilika,uwezo wa ku-perfom lazima utapungua kidogo...
Tatizo sio Dada tatizo ni mme hakumpa gegedo
Kisaikolojia mtu akishakuwa disturbed inawezekana kabisa... Na inakuwa ni namna ya kumueousha kuwa kichaa kabisa au kujinyonga,inamsaidia kiasi fulani kupata "relief" japo wengine tunakuwa tunamuona wa ajabu sana..Sidhani kama kuna mwanamke mwenye kujiongelea yote hayo bado huenda huyo alowaambia zitakuwa kidogo chenga kichwani
Yaani kwanza wakati mwenzao anafanyiwa hivyo ...wao huwa wanafanya sherehe ili atolewe ndani ya nyumba wapate nafasi wao
Ila hapo ndio tofauti ya wanawake na wanaume huonekana.. mwanaume anadate mke wa mtu lakini visanga vya mwanamke kwa mume wake huwa vinamkaa kichwani na huwa ni alert ya kutooa hata akiachana na mume wake.. ila wanawake sasa, anaweza ona mke wa jamaa anavyotendewa ila akisifiwa sifiwa huwa anajaa na jamaa akitangaza ndoa anakubali bila kujua na yeye ni mwanamke kama wanawake wengine, mwisho wa siku wanaendelea kulialia huku wajamaa wakitafuta kitu safi ingine kwenye chepo
Mwanamke sio gegedo tu...hata kama unamridhisha vipi kama mjinga ni mjinga tu.Tatizo sio Dada tatizo ni mme hakumpa gegedo
Nadhani hapo ndo palipo na tofauti kubwa kati ya sisi na nyinyi!Yaani kwanza wakati mwenzao anafanyiwa hivyo ...wao huwa wanafanya sherehe ili atolewe ndani ya nyumba wapate nafasi wao
Mwanamke sio gegedo tu...hata kama unamridhisha vipi kama mjinga ni mjinga tu.
Wengi huwa wanaponzwa na story za wenzao na kampani
Pole mwana wa nchi,hasira yako imeonekana dhahiri.Mpumbavu sana huyo dada Narudia MPUMBAVU SANA
Na bado akatike hata miguu mjinga mmoja huyo.... Unachukua mkopo unampa hawara??? Eti akajenga fwack, amediriki kumdanganya mume kuchukua pesa zote kumpa mchepuko,. Haya leo kakosa ndoa kamjengea mwenzie nyumba kilaiiini kabisa mjinga kabisa huyo
Ndoa sio kitu cha kuchezea, kama alikuwa anajua mume hatokidhi haja zake kwanini alikubali kula kiapo cha ndoa mjinga huyo? Anafikiri ndoa ni kula wali maharagwe?
Hii story imeniharibia siku kabisaaaa
Yaani kwanza wakati mwenzao anafanyiwa hivyo ...wao huwa wanafanya sherehe ili atolewe ndani ya nyumba wapate nafasi wao



mimi huwa nashangaa as if mtu anaeenda kuolewa nae ni tofauti na anaemtenda mwenzake.. kweli crazy in love brothermimi huwa nashangaa as if mtu anaeenda kuolewa nae ni tofauti na anaemtenda mwenzake.. kweli crazy in love brother
Dah kweli kabisa mkuu.Usaliti wa aina yoyote, huwa hauna mwisho mzuri.