ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,466
- Thread starter
-
- #141
Wanawake sio viumbe vinavyostahili kuwezeshwa,... Wakiwa na uwezo tu utajuta,.. Ni viumbe hatari kuliko simba. Mi napinga kbs kumwezesha mwanamke,.. Wana roho mbaya sana hawa viumbe
Vibaya sana.... Kwanza nikisikia tu mwanamke kampa pesa mwanaume nachukia jumlisha huyo kachukua za mumewe kampa mchepuko wooooiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23] Zesh umepaniki
Ndo mzunguko wa dunia ulivyo mkuu,inabidi tukubali tu kuwa mshale wa saa sasa unaanza kwenda anti-clockwise!Vibaya sana.... Kwanza nikisikia tu mwanamke kampa pesa mwanaume nachukia jumlisha huyo kachukua za mumewe kampa mchepuko wooooiiiiiii
Njoo kule Mara mojaUkute huyo mwanamke kwao kumejaa shida
Tehtehteh...Women can be so dumb when in love.
And that's why we almost always get caught when cheating.
If a man respects you as his woman, strives hard to provide for you, why can't you just be patient if he is not good in bed?
No man can cater to all your needs at the same time. He cannot be financially, emotionally and sexually at his peak all the time you are together.
No man is perfect.
Sio sahihi kabisa siwezi fanya hvyo kabisa mimi ndio angekuwa ananihadithia haya mambo ningempa majibu ya kumkwazaJe ni sahihi? Kwa upande wako ?
Sio sahihi kabisa siwezi fanya hvyo kabisa mimi ndio angekuwa ananihadithia haya mambo ningempa majibu ya kumkwaza
Relax baby sponsor....si kila kitu humu cha kuchukulia serious, zingine ni story tu za kutunga..Mpumbavu sana huyo dada Narudia MPUMBAVU SANA
Na bado akatike hata miguu mjinga mmoja huyo.... Unachukua mkopo unampa hawara??? Eti akajenga fwack, amediriki kumdanganya mume kuchukua pesa zote kumpa mchepuko,. Haya leo kakosa ndoa kamjengea mwenzie nyumba kilaiiini kabisa mjinga kabisa huyo
Ndoa sio kitu cha kuchezea, kama alikuwa anajua mume hatokidhi haja zake kwanini alikubali kula kiapo cha ndoa mjinga huyo? Anafikiri ndoa ni kula wali maharagwe?
Hii story imeniharibia siku kabisaaaa
Hawajambo woteHaya bwana. .tabata hawajambo lakini?
SawaRelax baby sponsor....si kila kitu humu cha kuchukulia serious, zingine ni story tu za kutunga..
[emoji23]Ukute huyo mwanamke kwao kumejaa shida
Una umri gani,?Jamaa anaakili Sana hiyo opportunity sjui Lin nitaipata Namim
Duh hatari 🔥 fireKuna siku ulihadithia kisa fulan cha mapenz
Nikajua ni ke
Nikasema yes ngoja nimzamie pm
Kusoma comment inayofuata umecoment kiume duh
Nikajipa muda
Nikakusoma tena oooh kumbe ni dume
Oyoyoyoyooooo nikasitisha safari
Ulikua umeweka avatar ya kike
Nlikua niingie cha kike
Seriously kabsaaa nlishakupangia namna ya kukupiga sound mzee baba
But sorry aise, duuh hizi ID fake shida Sana
Duuh kuna siku kidogo nikuzamie pm mzee baba
Nikaona comment yako nikaahirisha
Kumbe ni me!!!
Nlichoka
Kuna hatari inataka kutokea hapaAise. .hata mimi niliwahi kuhisi kuwa wewe ni Ke. ... leo ulivyo ni quote hapa ndio nime hisi kuwa una jinsia ya kiume. .Baada ya kuniambia maneno hayo
Oohoooo,ndugu tafuta pesa kwa kadri uwezavyo lakini achana kabisa na ndoto za kupata mteremko kutika kwa mwanamke ili wewe unufaike wakati yeye akibaki na maumivu ya kihisia,ni mbaya sanaaa...Una umri gani,?
Hahahaaaa,hatari gani tena hapo?Kuna hatari inataka kutokea hapa
Mhh,nadhani tatizo kubwa ni psychology tu,maana wengi wanashuhudia kuwa wakiwa na wake zao,wana-perfom very poor,ila wakikutana watu wapya wanawabagaza vibaya sana,(hapa nguvu zinatoka wapi ilhali wanakuwa bado na majukumu yale yale nyumbani?)Ukishaoa hata Kama ulikuwa unapiga gegedo za kutosha utapungukiwa na nguvu za kiume tu.
Maana ya kutimiza huko ndani ni mengi kuliko uwezo wako.
Wanawake ni chanzo Cha upungufu wa nguvu za kiume kwa waume zao
Hahaha hapana. ..we good ''wanaume wanaojielewa hawa kinzani kwa mambo ya kijingaKuna hatari inataka kutokea hapa