Tatizo umeandika meeeeeeengi mpaka nahisi ni hadithi ulizosimuliwa na wewe ukaamini ni kweli.sio hadithi, mfano number 4 hiyo alikuwa nayo anko yangu ila alivyokufa tuu na mali zikaisha baada ya mwaka mmoja tuu ,,, ila pesa za majini sio nzuri aiiise
Aisee...Aaahhhhh acha tu ""...
Jini la pesa lipo ila halipatikani kwa makafara.... Hiyo ni michezo tu ya wapigaji wa mjini... Jini pesa ndio linamtunuku mtu bila chembe ya ushirikinaMaswali ninayo mengi!..
Hilo Jini, linatoaje Pesa?
Nikwamba linakujazia 'Majaba yamejaa Mihela? au inakuwaje!
Mimi nalihitaji wakuu!
kutoa kafara au kujitoa kafara, sioni tatizo. ila tatizo litakuja pale nitakapotoa kafara na mihela nisiipate!
Nitakosaje hapa kwa mfano
hahaaa Akili zako zina kideleAcheni Uzuzu, kazi nafanya, pesa napata.
Ni pesa za kula na kunya.
ila sasa, nahitaji MIHELA sio hela.
Mungu hasaidii kweli".... wala msijidanganyeKweli mungu hasaidii, mim kutwa napgika na jua lakni hela za maana hakuna.
Acha sound mkuu"... mbona mimi haujanipa hizi habari "'?zipo tunduma pale na nyingine za kuuwa ndugu zako na kulala na mifugo ziko swanga
mmmh " yaani alale na bimkubwa wake".... kweli bangi sio majani ya chai1.Zipo za kufa wiki mbili mkeo anakuwa anakusanya funza tuu
2.za kuuwa kila mwaka ndugu yako au watoto wako hasa wale kipenzi chako
3.kupotea mwenyewe baada ya wiki unarudi ila hii unaweza usirudi kabisa siyo nzuri
4.zipo za kulala na mama yako yani unafanya mapenzi na mama yako kila mwezi
5. Zipo za kukatwa vidole vya miguu na unavaa hirizi kiunoni isionekane kwa yeyeyote except mke
ila hii hainaga hela nyingi
ushauri wangu chukuwa namba nne (04) ina pesa sana
daahh kumbe ulipita huku "'?Aisee...
Hahaa, kumbe umeanza naye kitambodaahh kumbe ulipita huku "'?
Unataka kumaanisha nini hapo?Jini la pesa lipo ila halipatikani kwa makafara.... Hiyo ni michezo tu ya wapigaji wa mjini... Jini pesa ndio linamtunuku mtu bila chembe ya ushirikina
Sawa sawa... Jini ni kiumberoho wa juu sana haendeshwi kwa mienendo ya kibinadamu.... Hata wale wanaofanikiwa kuyafuga wanapata tabu sanaUnataka kumaanisha nini hapo?
Kwamba "Jini la Pesa" halitafutwi? ila lenyewe linamtafuta limtakaye? fafanua mkuu
hahaa ndio nimembaini leo" kuwa tumetoka Mbali MnooHahaa, kumbe umeanza naye kitambo
sawa, ila bado sijaelewa.Sawa sawa... Jini ni kiumberoho wa juu sana haendeshwi kwa mienendo ya kibinadamu.... Hata wale wanaofanikiwa kuyafuga wanapata tabu sana
Pesa ya haraka ni kwa njia ya kumtoa kafara mzazi au mwanao au ndugu wa karibusawa, ila bado sijaelewa.
ila nataka kufahamu zaidi.
kwahiyo kama nataka pesa, vyovyote vile, iwe jini la pesa au vyovyote vile inavyowezekana. nitazipata vipi? namaanisha "Mihela kweli" sio hela
kwahiyo hizo hela kumbe zipo! 😎 mkuu, hebu nifafanulie mwanzo hadi mwisho kuhusu hizo za kutoa kafara.Pesa ya haraka ni kwa njia ya kumtoa kafara mzazi au mwanao au ndugu wa karibu