choconorma
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 210
- 51
hawa jamaa ni wanafanya mambo ya ajabu yana wanatoa najibu kwa waliosoma pale kwanza then wanafata wengine nimewashusha vyeoMe mwenyewe imebid niombe second round tu maana siwaelewi ila leo nataka niwafate chuo pale pale
kumbe ndo wamefanya hvo? ndo maana system mpaka sasa wameifungahawa jamaa ni wanafanya mambo ya ajabu yana wanatoa najibu kwa waliosoma pale kwanza then wanafata wengine nimewashusha vyeo
yah mkuu io ndo hali halisikumbe ndo wamefanya hvo? ndo maana system mpaka sasa wameifunga
ww inakubali kufungua?yah mkuu io ndo hali halisi
Kweli aisee kuna haja ya hili jukumu kurud tcuInavyoonekana siyo kuwashinda na haiweze kuingia akilini kuwa wameshindwa uploading for selection labda walichelewa kufanya selection na ndiyo maana tulkikuwa tunataka ile system ya TCU iboreshwe kuondoa huu utata katika vyuo kuchelewa kutoa majina , Kuwa selection zote zitoke siku moja ili kila mmoja aangalie alikopangiwa au kufanya second application
Walikujibu ninKuweni wapole wakuu....inaonekana wanayaRelease taratibu..mimi sijasoma dit ila majibu washanipa tangu jana asubuhi
walikujibu kwa njia ganiKuweni wapole wakuu....inaonekana wanayaRelease taratibu..mimi sijasoma dit ila majibu washanipa tangu jana asubuhi
nimeingia kwenye account yangu nliyoifungua nlipokua naAply dit..nikakuta taarifa ya kuchaguliwa na wakanitaka niConfirm kama ntaenda(kwasabab nimechaguliwa pia na chuo kingine)Walikujibu nin
walikujibu kwa njia gani
mbona sisi inakataa kufunguanimeingia kwenye account yangu nliyoifungua nlipokua naAply dit..nikakuta taarifa ya kuchaguliwa na wakanitaka niConfirm kama ntaenda(kwasabab nimechaguliwa pia na chuo kingine)
Muulize boss wa JF naye kasomea hapo akusaidieInatia aibu sana kuona chuo chenye sifa ya kutoa maengineer na maIT nchini tena wenye kuaminika inashindwa kurekebisha system na kuupload selection mpaka leo karibu vyuo vyote vishatoa majina kimebaki chenyewe,mnatia aibu hii xana
hata me pia inakataa kufunguambona sisi inakataa kufungua
si ndio apo sasa ,tuwahi tu nafasi 2rd round mkuuhata me pia inakataa kufungua
Link inagoma kufungua mkuu lbd kama una nyingne tusaidie mkuuDIT selection tayari tangu Juzi acheni porojo.. pitia account yako