Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,580
oooohh, unajua kiswahili kimepanuka sana hamisi.
kupanuka tusi ujue....
oooohh, unajua kiswahili kimepanuka sana hamisi.
Mzee mkali wewe!Lengo la kuleta hii topic hapa jf ni nin?.
Wakati unamkaribisha ulitualika!..
kupanuka tusi ujue....
Mzee mkali wewe!
sio tusi. kwa kikristo tunasemaje vile?
Na watu hao upenda sana vya wenzao, kwa ufupi naweza sema "chako changu changu changu" ndio style yao, kwani kuna mtu anazikwa na pesa au gold,jamani? Some people need change,
mi so mkristo
kikristo kiinglish, we raisi wa wabeba viloba vipi banaaaaaaaa!!!!
Msemee amchape na bakora.Ngoja nimsemee MwaJ kwa mzee
nifundishe log
nitakufundisha kesho, nikisahau unikumbushe, nikikumbuka usinisumbue.
usije na mmasai wako.
nije na nani?
na MwaJ mdogo
nitakuja na mpenzi wangu uporoto.
sredi klozd. nadediketi wimbo wa 'achana na mimi kutoka kwa msanii matata jina kapuni' kwa hamisi kishindindo.
Baadae log in kwa PC u do ze nidful kwa kunigongea like nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
nipo kwa pc hapa, mobile mode.