Hivi kwanini wanawake wengi huonesha care zaidi kwa viongozi wa dini kuliko waume zao?

Waganga wa Kienyeji/Maustadhi wa visomo na Wachungaji/Manabii wanaaminiwa sana na wanawake.
Embe, Chungwa, Papai kwa pamoja ni Matunda

Makundi hayo uliyotaja kwa pamoja ni matapeli na Wazinzi ndio sababu wanavutiwa na Wanawake


Kuna Muhuni Mmoja pale Tabata Bima alikuwa anajifanya eti sio Mganga bali Tabibu wa Tiba mbadala na moja ya dawa zake eti lazima Atumie kitovu chake kupaka dawa kwenye kitovu cha Mwanamke ili apate uzazi

Mbwa yule aliwapanda Wamama wengi sana wenye heshma zao mjini bila ya ridhaa zao kwa mbinu hizo za kifedhuli

Ukimwi uliamulia Ugomvi hatimae
 
Wanawake wako na personality trait ijulikanayo kama Agreeableness, wako more agreeable kuliko wanaume hii huwafanya uwezo wao wa kufikiri ama kuhoji jambo kuwa mdogo sana ukilinganisha na wanaume, hivyo basi mwisho wa siku wanavutiwa na ahadi hewa za wachungaji ama viongozi wa dini kama vile Stori za kwenda mbinguni na porojo nyinginezo hatimaye hujikuta katika ulimwengu wa nadharia mfu na kuwa mateka wa yale wayasikiayo kutoka kwa viongozi wa dini, kumbuka pia womens are more interested in people compared to mens na ndio maana pia utawakuta wanafanya vizuri kwenye tasnia zinazohitaji ukarimu (hospitality industries), mens are more interested into things na ndio maana utakuta wanaume kwenye mambo ya ujenzi, engineering na kazi nyingine ngumungumu wanafanya vizuri.
 
Wanawake kizamani wanavutiwa na mamlaka.

So nahisi ile wanaongeaga 'BWANA AKASEMAA, TOKAA..... UENDE NCHI YA MBAAAAAALI🗣.SIMAMAA ASEMA BWANA WA MAJESHI💪🗣🗣' Basi wanajiskia kutii zaidi..

Sasa akirudi home na hizo 'bebii, unajuaa......' anakuwa threshold ishaparanganyika huko haelewi kitu.

Nadharia yangu hii mazee.
Hapa kuna kaukweli fulani hivi japo sio rahisi kukaelewa.
 
Wachungaji au viongozi wa dini ni wasikivu na washauri wazuri. Wanatafuta faraja walioikosa nyumbani. Mwanamke akipata pa kusikilizwa na kupata faraja anajihisi kuwa safe huko.
 
Aisee issue za dini achana nazo kaka, mambo ya imani ni mapana sana, ukitaka mke wako asiwaamini muaminishe akuamini wewe. over
 
Kuna wanawake wako desperate .

Hao ndo chumio la kina mwamposa , waganga wanawapa matumaini hewa na kuwaibia pesa zao..

Inaskitisha sana….
 
Imeandikwa kwenye Biblia 2Mambo ya nyakati 20: 20-30

Mwaminini Bwana Mungu ndivyo mtakavyothibitika na waaminini Manabii ndivyo mtafanikiwa...
Acha kupotosha Maandiko. Jifunze kuapply maandiko kwa kuangalia na kuoanisha muktadha husika. Haya Maandiko uliyonukuu, Mfalme Yehoshafati alikuwa anawatia moyo wanajeshi wake walipokuwa wanakwenda vitani baada ya kupata assurance kwa manabii kuwa watashinda.

Hayahusiani kabisa na tabia ya wanawake kuwadharau waume zao na kujifanya wana adabu kwa viongozi wa dini.
 
Bi mkubwa wangu ilikua akifanya kosa Kuna mtu anamwambia "kwa kweli hapa lilipofikia itabidi nikaripoti kanisani kwa mchungaji" hahahaha Maza ataomba msamaha wa Kila namna Jambo lisifike kwa pastor,,tuseme huku tunacheka ila mama zetu Hawa akili zao wanajua wenyewe
 
Kwa sababu wachungaji wanawapatia hao wanawake muda mwingi kuliko wewe mume wake
mchungaji anayeweza kukaa na mke wa mtu pasipo muwe wa mwanamke huyo au mke wa mchungaji kuwepo, ujue mchungaji huyu ni malaya tu.
 
Back
Top Bottom