mnyandzombe
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 245
- 194
Habari za mida hii?? Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kuni ruzuku uhai. Mara kadhaa nimeskia wanaume wenzangu wakilalamika kuwa wake zao hawaamini kabisa kuwa hawana hela katika kipindi chao cha maisha. Lakini pia nimesikia mara kadhaa wanawake wanasema ''mwanaume haishiwi pesa''.
Kwa utafiti wangu usiorasmi nimebaini kuwa wanaume wengi huishiwa fedha na pale wanapoambiwa kuwa haiwezekani mwanaume kuishiwa pesa imewapelekea kukopa zaidi ili kukidhi matakwa ya wake zao.
Enyi wanawake aminini kuwa waume zenu wanaweza kuishiwa hela
Wasalaam