...... giving birth and tending to children in infancy vis a vis breastfeeding ....
1 Corinthians 11:3 Now I want you to realize that the head of every man is Christ, and the head of the woman is man, and the head of Christ is God.
1 Timothy 2:13 For Adam was formed first, then Eve
Hebu nakuomba ondoa uvivu soma Kumbukumbu la Torati 22: 5 . Basi usiendelee kuwa mbishi fuata maagizo ya Mungu!!Ama kweli kutokomeza mfumo dume itachukua muda. Hivi kazi za kiume ni zipi na kazi za kike ni zipi. Nani alikwambia kwamba kaptura ni vazi la kiume? Nadhani kuna haja ya watu kama nyie kabla ya kupost thread hapa jamvini kuwauliza majirani zenu kama post unayotaka kuiweka ina mashiko au la.
mmmh lakini hakuna sehemu yoyote ilipoandikwa kuwa ndo itakuwa hivyo milele kwamba wanawake lazima abebe ndoo/mizigo kichwaniwanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!
Acheni tujiachie na mambo ya globalization kitu gani bana...nini kaptura,tunapiga hadi boxer..
mmmh lakini hakuna sehemu yoyote ilipoandikwa kuwa ndo itakuwa hivyo milele kwamba wanawake lazima abebe ndoo/mizigo kichwani
Pia swala la mavazi kaptula na suruali t-shirt, kumbuka kuwa miaka ya zamani kabla ya kuja wakoloni babu zetu walikuwa wanavaa mavazi ya asili, walipokuja wakoloni wazee wetu wakabadilika wakavaa mavazi ya kizungu, miaka ikasonga yakaja mavazi mapya wakavaa (i hope au kwa kusimuliwa utakuwa unajua mavazi ya miaka ya themanini zilkuwa ni bwanga kwa wanaume, wanawake walikuwa wanavaa vimini mno), mpaka kuna wakati nyerere akapiga vita mavazi hayo sketi akalazimisha zivuke magoti,suruali wakawa wanataka kama akiingiza ukifungua mkanda ukaingiza chupa ya bia juu lazima ipite bila shida mpaka chini miguuni that means suruali ikibana haitapita,
kikaondoka hicho kizazi kikaja kizazi cha nguo ndefu wakaziita charanga
kikaondoka kimekuja kizazi cha vimini tena, vitop, vipedo, suruali za kubana so hayo ni mabadiliko ya msimu tu
hakuna sehemu yeyote waliyotaja masuruali, wala kaptula wala gauni ndugu yanguHaya yooote uliyoyazungumza ni ya dunia, je Muumba wako anasemaje kuhusu mwanamke na mwanaume?
Acha ujinga na mjumlisho. Nani kakwambia kuwa wanawake wote wanapenda uanaume? Kwani uanaume ni kuvaa suruali? Mbona mashehe na mapadre wanavaa kanzu na hatuwezi kusema wanautaka uanauke? Isitoshe umefanya utafiti wapi lini na kwa kiasi gani hadi uje na bold conclusion kama hii? Go tell it to the birds. Unachotaka kusema ni uongo na matokeo ya mawazo mgando. Simple.wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!
wanasahau kuwa kama ilitakiwa tuwe sawa basi Muumba wetu angetuumba wa jinsia moja tu,lakini tumeumbwa tofauti ili kila mmoja atekeleze majukumu yake bila kumbugudhi mwenzake,hatujawa kuwa sawa na wala hatakuwa sawa kamwe,that is nature and it will be that way,ila waache waendelee kupiga kelele wakichoka wataacha
Wanatafuta kakitu kanaitwa haki sawa kitu ambacho hakipo na wakumbuke walitoka ubavuni mwa mwanaume.Mwanaume ndo kichwa cha nyumba
Waache wala usiwabugudhi. Watakuja kujua in the near future kwamba MUUMBA hakufanya makosa kuumba jinsia mbili tofauti. The lesson will be hard, but yes, they will know the truth and it will set them free! Kwa sasa hakuna atakayekuelewa, kama wamelewalewa hivi
pia kuna lile andiko ktk kitabu cha mwanzo wakati Mungu anatoa laana kwa Adamu na Hawa,sipakumbuki vizuri ila baada ya Hawa kuambiwa utazaa kwa uchungu,mwenyezi Mungu aliendelea kwa kumuambia tamaa yake itakua kwa mumewe naye ATAMTAWALA,sio maneno yangu ila bible ndio inasema hivyo.
wadada hawawezi kuwa sawa na sisi bhana daah yaani hata iweje.mwanamke ni mwanamke tu hawezi kuchukua nafasi ya mwanaume hata kama wanataka haki sawa.
mfumo dume ndo mpango mzima bhana vp aisee?
wanasahau kuwa kama ilitakiwa tuwe sawa basi Muumba wetu angetuumba wa jinsia moja tu,lakini tumeumbwa tofauti ili kila mmoja atekeleze majukumu yake bila kumbugudhi mwenzake,hatujawa kuwa sawa na wala hatakuwa sawa kamwe,that is nature and it will be that way,ila waache waendelee kupiga kelele wakichoka wataacha
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!
Acha ujinga na mjumlisho. Nani kakwambia kuwa wanawake wote wanapenda uanaume? Kwani uanaume ni kuvaa suruali? Mbona mashehe na mapadre wanavaa kanzu na hatuwezi kusema wanautaka uanauke? Isitoshe umefanya utafiti wapi lini na kwa kiasi gani hadi uje na bold conclusion kama hii? Go tell it to the birds. Unachotaka kusema ni uongo na matokeo ya mawazo mgando. Simple.
wanawake wa siku hizi wamesahau asili yao, wanavaa suruali, kabtura, t-sheti, hawabebi ndoo kichwani na hata kazi wanataka za kiume, zile za kike zinawaboa kweli. sijui ni mdudu gani ameingi vichwani mwao!!!