Hivi kwanini wanaume wengi awaridhiki??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,967
22,157
Pengine waweza jiuliz a kwa nini wanaume wengi hata wakutane na wanwake kama malaika wasiojua kutoka nje lakini wanashindwa kujiheshimu??je wewe ni mmja wa haka kagonjwa??
Wenye uzoefu tusaidiane jamani!!
 
Hivi mkuu unajua ni kiasi gani cha hormone (testosterone) kinamwagwa kwenye damu ya dume kwa siku?? Wenzio hormone zao zinazunguka na lunar cycle na kwa hiyo hawako chini ya pressure ya chemical moja tu kama sisi!!

Hata hivyo tushukuru sana maisha ya siku hizi yenye mishe mishe mingi...vinginevyo na huu utandawazi tungewapiga bao babu zetu ambao kwao minimum ilikuwa ni 2-3 wives!!
 
coz matamanio ya mwanaume yapo karibu zaidi!na ndo maana kwa kultambua hlo dini ya kiislamu ikatoa ruhusa ya mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja ili kukidhi haja!
 
Tushaaambiwa baioloji zenu ndizo zinafanya msiridhike[/QUOTE

dINNAH ZIPI HIZO ..YAANI HIZO NDIO TUNAZITAKA WAKATI WA TENDO FULANI MTUGAIE ILI TUWE KAMA NINYI TATIZO WENGINE WANAHISI UCHOYO SEHEMU YA KUPUNGUZA MATATIZO YAO NGUMU
 
coz matamanio ya mwanaume yapo karibu zaidi!na ndo maana kwa kultambua hlo dini ya kiislamu ikatoa ruhusa ya mwanaume kuoa mke zaidi ya mmoja ili kukidhi haja!

mbona waliooaa wa nne nao wana nyumba ndogo na wengine kufanya wafike 7 to 8 uoni bado sio soln
msaada tutani
 
sasa mie nataka mwanaume wangu matamanio yake ayalete kwangu aone kama hajachoka mwenyewe
nikishindwa ndio aniletee habari ya baioloji not now najijua kila akitaka nitamtimizia tu, nia ninayo, uwezo ninao, na hamu pia ninazo
 
itategemea kama utakuwa mbunifu na unajua kujipamba na kujitunza kila siku atakuona mpya na matamanio ataya elekeza kwako, na wewe umesema utamwonesha kwa kuwa kazi unaiweza.... haaaa haaa

kama tunagaiana mbegu kwa nini na hiyo bailogia tuigaiane kipindi cha nanii
 
hapo nilipo bold sikubaliani na wewe hizo zilikuwa ni tamaa za jamaa yenu Muhammad tu. hebu fikiria na mwanamke angekuwa anaolewa na mwanamume zaidi ya mmoja ingekuwaje? simple question

Mkuu manyanza'
Hata wanawake zao wanaolewaga mara nne nne ila diniairuhusu kuweka hadharani kwa mwanaume kwa mwanamke ruksa na ndio maana
nenda kaulize mwanamke alieolewa mke wa tatu ama wa pili nje ana starter si chini ya 4-6 za kumboost akikutana na jamaa mwenye mali
aanafurahia kapata style mpya kumbe wenzie wanamsaidia ujuzi
 
hapo nilipo bold sikubaliani na wewe hizo zilikuwa ni tamaa za jamaa yenu Muhammad tu. hebu fikiria na mwanamke angekuwa anaolewa na mwanamume zaidi ya mmoja ingekuwaje? simple question
Astakaffirurah*3 , manyanza, manyanza my friend.............
 
itategemea kama utakuwa mbunifu na unajua kujipamba na kujitunza kila siku atakuona mpya na matamanio ataya elekeza kwako, na wewe umesema utamwonesha kwa kuwa kazi unaiweza.... haaaa haaa
ndio manaake maana baioloji baioloji, na mimi nitamwambia baioloji yake ailete kwa mwenzake kila ikileta mushkeri
mpaka ajute kuzaliwa, nafanya kalkulation ya uzalishaji wa mbegu kama mkuu DC alivosema, yale mamilioni nagawanya kwa siku za mwezi mzima ili nijue kwa siku atahitaji vingapi
 
sasa mie nataka mwanaume wangu matamanio yake ayalete kwangu aone kama hajachoka mwenyewe
nikishindwa ndio aniletee habari ya baioloji not now najijua kila akitaka nitamtimizia tu, nia ninayo, uwezo ninao, na hamu pia ninazo[/QUOTEY
yaani wewe, you are the right women for me. Hivi umeolewa au bado. Mana nahisi ungenisaidia nistoke nje ya ndoa.
 
Ni tamaa tu inayosabaisha haya na ukweli ni kwamba wanawake wote hawana sawa

PIA: Wengine zimefunguka utazani bwawa wengine hata baada ya miaka bado zinabana
 
sasa mie nataka mwanaume wangu matamanio yake ayalete kwangu aone kama hajachoka mwenyewe
nikishindwa ndio aniletee habari ya baioloji not now najijua kila akitaka nitamtimizia tu, nia ninayo, uwezo ninao, na hamu pia ninazo[/QUOTEY
yaani wewe, you are the right women for me. Hivi umeolewa au bado. Mana nahisi ungenisaidia nistoke nje ya ndoa.

UMEENDA ANGAZA USIJE NIULIA KITINDA MIMBA CHANGU NIKAKOSA MAWAZO YAKE HUMU NDANI
 
Back
Top Bottom