Mbona mnajishtukia nyie watu wafupi? Amewaambia hampendezi kuvaa suti..vaeni bukta.Mwacheni tu na ujuaji wake,Ana criticize viumbe wa Mungu,Mungu fundi atkufurahisha
Nani amekwambia Mimi ni mfupi?Una ushahidi au unabwabwaja from what you don't understand?next time learn to be quiet than proving your nonsense on the forumMbona mnajishtukia nyie watu wafupi? Amewaambia hampendezi kuvaa suti..vaeni bukta.
Hajacheka ufupi wenu
Sasa hasira za nini kama we sio mfupi?Nani amekwambia Mimi ni mfupi?Una ushahidi au unabwabwaja from what you don't understand?next time learn to be quiet than proving your nonsense on the forum
Yaishe rafiki yangu nimebaki nacheka sasaSasa hasira za nini kama we sio mfupi?
Kuna kajamaa kazini n kafuupii sana ila sasa kacheshi balaa yaan kenyewe mda wote kanaongea. Asbuh mpaka usku. Yaan kenyewe dakika sifuri kashapata mteja akat mwezangu na mm umekaa unakodoa tu machoUsichokijua wanaume wanaaongoza kwa kupendwa sio hata hao warefu! Wanaume wafupi wako so charismatic!!! Wana vitu vinavyowafanya wanawake wengi happy wakiwa around wacheshi sana mf. Joti
Kama unabisha fuatilia hilo hata mtaani kwenu tu utagundua!
uzuri wanaume wafupi ukumruhusu kwenye papuchi K utaiweka mkono na utakimbia bila chupiHivi kwanini wanaume wafupi wakivaa suti hawapendezi. Hta hawakai vizuri wanakuwa km wametundikwa au wamefunikwa hawapendezi hta kidogo. Unaweza kusema ni kafurushi sijui cha nn. Wanakuwa hawaeleweki. Alafu awe mfupi halafu mnene hee ukimuona unaweza ukageuza njia kwa hofu. We km unajijua mfupi usivae suti jaman hupendezi unakuwa kichekesho.
Ona hawa wakaka warefu suti zilivokaa vizuri wamependeza sio km vimbilikimo View attachment 1773693View attachment 1773694View attachment 1773695
Hahahah ndio walivyo wachangamfu sanaKuna kajamaa kazini n kafuupii sana ila sasa kacheshi balaa yaan kenyewe mda wote kanaongea. Asbuh mpaka usku. Yaan kenyewe dakika sifuri kashapata mteja akat mwezangu na mm umekaa unakodoa tu macho
Kwa majibu hya wewe lazima utakuwa mfupi tu mana sio kwa kupanic huku  hv kwanini watu wafupi mnakuaga na hasira 😂😂Nani amekwambia Mimi ni mfupi?Una ushahidi au unabwabwaja from what you don't understand?next time learn to be quiet than proving your nonsense on the forum
Amependeza sana.
Afadhali. Barikiwa sanaYaishe rafiki yangu nimebaki nacheka sasa
Umesahau sisi tunaolala kwa shemeji Jf raha sanaHii thread inarudi mara ya tatu humu...
kuna cd ya masingle Maza,,
cd ya watu wafupi...
na cd ya kitimoto
na cd ya madem wenye mit.ako...
haipi miezi mitatu bila kujirudia....
tofauti ni uletwaji tu rizim ni ile ile
UmemalizaAf wanaume warefu asilimia kubwa wana vipenseli ya kakitu kembamba kanaelea elea tu ila hawa 5 ft kitu kinene urefu wastani,kwakweli kwa ma andunje sibanduki ata wakivaa kama jokeri.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Sawa MkuuYameisha mkuu