figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Habari yenu wakuu,
Samahani lakini kwa Swali langu, inanisumbua sana imenilazimu niulize. Hivi kwanini wanawake wa siku hizi ni wafupi sana yaani saana?. Hasa wanawake wa Kitanzania, unakuta mfupi hadi unamuonea Huruma.
Sababu kubwa ni nini? Mbegu za wazazi wetu zimedumaa au ni mapenzi ya Mungu?
Unakuta msicha ili umbusu hadi umsimamishe kwenye meza au kiti vinginevyo itakulazimu kuinama. Ni mimi tu nawaona wafupi au? Ukilala naye unamkuta kwenye miguu!..Jamani! hadi naona huruma.
Hata kwenye mambo yetu usipompata bongebonge utajua upo na mtoto kumbe mtu mzima na ana watoto wanasoma.
Hii hali inaninyima raha sana. Yaani wanawake warefu wa Kulenga kwa manati. Hata waliopo wana watu wao tayari. Walio single wengi ni wafupi balaa.
Wanautafiti naomba majibu.
Kama vipi Mimi Sitaoa.
NIa sio kuwaandama watu wafupi bali nataka kujua nini kinafanya wengi wao wawe wafupi kuliko wanaume?