Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

Ulijuaje kuna wanaume wafupi? Sifa ya mrefu imetokana na mfupi kuwepo na sifa ya mfupi imetokana na mrefu kuwepo
Kwa hiyo kama wewe unaona warefu pekee ndio wanapendeza basi pia kuna wafupi nao wanapendeza wa kivaa suti
 
Usichokijua wanaume wanaaongoza kwa kupendwa sio hata hao warefu! Wanaume wafupi wako so charismatic!!! Wana vitu vinavyowafanya wanawake wengi happy wakiwa around wacheshi sana mf. Joti

Kama unabisha fuatilia hilo hata mtaani kwenu tu utagundua!
Kuna kajamaa kazini n kafuupii sana ila sasa kacheshi balaa yaan kenyewe mda wote kanaongea. Asbuh mpaka usku. Yaan kenyewe dakika sifuri kashapata mteja akat mwezangu na mm umekaa unakodoa tu macho
 
Hivi kwanini wanaume wafupi wakivaa suti hawapendezi. Hta hawakai vizuri wanakuwa km wametundikwa au wamefunikwa hawapendezi hta kidogo. Unaweza kusema ni kafurushi sijui cha nn. Wanakuwa hawaeleweki. Alafu awe mfupi halafu mnene hee ukimuona unaweza ukageuza njia kwa hofu. We km unajijua mfupi usivae suti jaman hupendezi unakuwa kichekesho.


Ona hawa wakaka warefu suti zilivokaa vizuri wamependeza sio km vimbilikimo View attachment 1773693View attachment 1773694View attachment 1773695
uzuri wanaume wafupi ukumruhusu kwenye papuchi K utaiweka mkono na utakimbia bila chupi
 
Hii thread inarudi mara ya tatu humu...
kuna cd ya masingle Maza,,
cd ya watu wafupi...
na cd ya kitimoto
na cd ya madem wenye mit.ako...
haipi miezi mitatu bila kujirudia....
tofauti ni uletwaji tu rizim ni ile ile
Umesahau sisi tunaolala kwa shemeji Jf raha sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom