Mnasumbuka bure na hawa wakenya wakawaida.. Uhuru kenyata mwenyewe anatujua wajukuu wa nyerere na hata kaa sikumoja athubutu kuongea huu utumbo anaoongea huyu jamaa hapa jf,, maana anajua tukifunga koki sikumoja huku tumewaoa wakenya,, hatutochoka kuwasaidia hawa ndugu zetu,,, tanzanite tunawapa wanauza nje,, mlima kilimanjaro tumewaacha waufanye wao wanapata hela,, watalii wanashukia kwao wanawaleta huku wanapata hela,,,
mzimbabwe kawafundisha kuuza maua wanapiga kelele,, dhahabu zetu tunaenda kufaulisha kwao wanapata hela wanapiga kelele,, makampuni tumewaachia hq ziko kenya yanaoperate huku,, dada na kaka zao tumewaruhusu kuja kufanya kazi mbalimbali huku kirahisi kama ndugu zetu kelele bado mnapiga,,,
KQ wana route za kutosha tu hapa bongo tumewaachia kwani tungeshindwa kuwapa hiyo dili emirates au fast jet?? au umesahau Kenya alivyokimbia kuja kuomba samahani baada ya kuiminya kidogo to KQ... sasa hivi tuna mtambo wa gas pale nayo tutawapa tu msihofu,,,