sawa kabisa hata mimi nilimuona huyo mhindi wa cdm na alikuwa fiti sana!Kigoma Jimbo aliloshinda Kafulila, Chadema ilimsimamisha Mhindi na alishiriki kwenye Mstakabali wa Uchaguzi ulieoendeshwa na TBC - Tido Mhando alishindwa kwa kura sio zaidi ya 200
Kihistoria hawa walikuja kufanya biashara na ni wakwepaji wakubwa wa kodi, hawana uzalendo. Kumbuka......."Ukitaka biashara zako ziende vizuri basi jiunge CCM" - F Sumayehawa jamaa wote ni wanachama wa ccm,kwa nini hawaendi upinzani?
Du breki zimekatika nini?Mnawapa ubunge gani? Wakati ubunge wa viti maalam mmpeana wachagga kwa wachagga! na kwa kujuana kuna waarabu gani au wahindi mmewapa? Acheni unafiki
Watanzania wote wenye akili zao timamu wamebaki CCM. Sasa wewe ulitaka wahindi na warabu wahamie chama kisicho na msimamo? Acha bia za mchana bibiehawa jamaa wote ni wanachama wa ccm,kwa nini hawaendi upinzani?
Kama alivodokeza hapo juu mchangiaji mmoja.kwa nini majoja??kwani wale sio wenzetu?
Kigoma Jimbo aliloshinda Kafulila, Chadema ilimsimamisha Mhindi na alishiriki kwenye Mstakabali wa Uchaguzi ulieoendeshwa na TBC - Tido Mhando alishindwa kwa kura sio zaidi ya 200
na kweri ccm wanafanya lolote watakalo..rostam,jitu patel,manji,mohdKwasababu ccm ndo yenye faida kwao.We unataka wawe wapinzani wakose uhuru wa kufanya lolote watakalo?!
hawa jamaa wote ni wanachama wa ccm,kwa nini hawaendi upinzani?
hawa jamaa wote ni wanachama wa ccm,kwa nini hawaendi upinzani?
Kwahiyo unamaana kuwa hii topic ni vita ya wachaga na wahindi...sio swala la kisiasa?Kule Moshi wahindi na waarabu kama akina Panjuani waliokuwa wakitamba kwa maduka makubwa ya electric appliances sasa utawaonea huruma! Wamesimama ndani ya maduka yao wakitazamana wao kwa wao, hawana ujanja hakuna mtu ananunua kwao.
Ukienda Arusha mambo yanakuwa hivyo hivyo, utasikia wakisema "biashara hapana mzuri hapa hii Chagga nahararibu bishara hapa". Angalia akina Manji walivyogombana na Mengi, hawataki kumwona mtanzania akifanya biashara kubwa na watu wa aina hii ni tishio kwao.
Na hili wameliingiza kwenye siasa kwa kuwachochea watu wafikiri CDM ni ya wachagga na wangependa kama nchii wachagga wanafutika wote ili waweze kunyonga vizuri zaidi.
Tuwe macho na hawa wanyonyaji na tuache kuwashabikia kipumbavu!