Hivi kwanini Wahindi na Waarabu hawajiungi vyama vya Upinzani?

Pumbaffffff

Yaani nikiwakutaga kwenye ma office mbalimbali huko kariakoo au posta au sehemu yoyote. Huwa nawaza tu kuwa siku yao hawa washenzi siku yao itafika lini. Na sio kwamba nawachukia nikiwa sina sababu. Nina sababu za kutosha , na anayetaka kuzisikia anaweza kuniomba nimwelezee
 
Jibu lako ona hapo chini.......from inside JF humu humu !!

Kuwabagua wachaga ndani ya ccm itawamaliza 2015
Wadau nawasalimu sana:

Nina muda mrefu sana tangu mwaka jana sijaingia humu kwa majukumu ya Ccm na serikali pia, nimekuja humu kukishauri chama kwa huu upande baadhi ya makada wenzangu wamekuwa na kauli za kibaguzi kwa sisi wachaga tuliopo humu chamani na mifano na ushahidi ninao Wa kutosha tunapokuwa kwenye ziara za kichama na vikao vya ndani kauli kama " hayo mawazo yako pelekea Moshi" nawaambika kabisa kama hamtabadilika kwa kauli zenu za kutubagua wachaga itatugharimu 2015.

Mosi tazama kisa cha Arusha mjini jimbo linaloongozwa na chadema mbunge Wa pale ni kauli za kibaguzi za kabila zinazomchafua kila siku ndio maana Ccm tunapata upinzani ndani ya mkoa huu ,nawataadharisha kabisa huku kutubagua siye wachaga ndani ya chama itawagharimu sana kwenye chaguzi nyingi.

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hatumchagui mtu kutokana na kabila lake Bali kutokana na vigezo vyake na hatutamkataa mtu kutokana na kabila lake.

Badilikine baadhi ya wajumbe wenzangu Ccm ina makabila tofauti na lengo ni moja kujenga chama na nchi.

USHIRIKINA mtupu....Puuuuuyyff !!

Halafu ni kwa nini ccm hawaendelezi chama chao huko uchagani??
 
Back
Top Bottom