Hivi kwanini Wahindi na Waarabu hawajiungi vyama vya Upinzani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwanini Wahindi na Waarabu hawajiungi vyama vya Upinzani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Jul 13, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa wote ni wanachama wa CCM, kwanini hawaendi upinzani?
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  nchi si yao

  hawana uzalendo
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Upinzani gani unataka waende wakati nyie CDM mnasema chama cha upinzani Tanzania ni kimoja tu CDM
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mbona tunawapa ubunge?
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mnawapa ubunge gani? Wakati ubunge wa viti maalam mmpeana wachagga kwa wachagga! na kwa kujuana kuna waarabu gani au wahindi mmewapa? Acheni unafiki
   
 6. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wahindi na Waarabu ni kama Mnyama Paka tu, daima humfuata aliyeshika mpini. Utawaona tu 2015 Wakiwa wamejazana CDM baada ya Magamba Original kuwa Chama cha upinzani. Ndipo utakaposhangaa kumbe walikuwa na kadi za CDM kwa muda mrefu!
   
 7. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Na yule Arfi wa cdm vipi?
   
 8. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Afadhali wazungu tunawaona ndani ya CDM! Kuna mapadri wengi wakizungu hapa TZ!
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mimi nilikuwa sijui ilo tunashukuru kwa kutufahamisha
   
 10. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wazungu wanatutakia mema
   
 11. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wakiingia upinzani(hasa wahindi) wattahiriwa upya bila ganzi
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280

  kwa nini majoja??kwani wale sio wenzetu?
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mbona CUF wako wengi 2 mkuu!!
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Kaka, CDM si wanasema Tanzania chama cha upinzani ni kimoja tu CDM, sasa waingie upinzani gani? Ebu tafahamishe
   
 15. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wengi wao ni wafanya biashara..wakienda upinzani zile njia zao zitakwama
   
 16. W

  WildCard JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Baadhi yao mioyo yao iko upinzani. Inatosha.
   
 17. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Tumuulize rotam amepata hasara gani kwa kuwa mwana ccm wa kuaminiwa na kuiiibia nchi kwa niaba ya kikwete na ccm
   
 18. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kigoma Jimbo aliloshinda Kafulila, Chadema ilimsimamisha Mhindi na alishiriki kwenye Mstakabali wa Uchaguzi ulieoendeshwa na TBC - Tido Mhando alishindwa kwa kura sio zaidi ya 200
   
 19. P

  PauliMasao JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 26, 2007
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ngojeeni wajiunge na jeshi la polisi au JWTZ kwanza halafu tuongee!
   
 20. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  waahindi na waarabu ni wafanyabiasa na biashara zao zinaambatana na magendo, kukwepa kodi, udanganyifu na corruption.....security yao na biashara zao ni kuwa wana ccm na kusupport chama kwenye uchaguzi!!
   
Loading...