Hivi kwanini Wahindi na Waarabu hawajiungi vyama vya Upinzani?

Mimi nafikiri hapa ndipo ulipo mzizi mkuu.

Kwanini wahindi, waarabu hawaajiriwi katika vyombo vyenu vya ulinzi na usalama?
 
Kigoma Jimbo aliloshinda Kafulila, Chadema ilimsimamisha Mhindi na alishiriki kwenye Mstakabali wa Uchaguzi ulieoendeshwa na TBC - Tido Mhando alishindwa kwa kura sio zaidi ya 200
sawa kabisa hata mimi nilimuona huyo mhindi wa cdm na alikuwa fiti sana!
 
Wao si wezi wanajua wanaweza pewa 24hrs kusepa ndani ya nchi ,so wanajikomba kwa magamba
 
hawa jamaa wote ni wanachama wa ccm,kwa nini hawaendi upinzani?
Kihistoria hawa walikuja kufanya biashara na ni wakwepaji wakubwa wa kodi, hawana uzalendo. Kumbuka......."Ukitaka biashara zako ziende vizuri basi jiunge CCM" - F Sumaye
 
Hawa wahindi, wanasoma alama za nyakati bwana, kikiingia chama kingine watafuata upepo!! chama kiko mfukoni mwao toka enzi za TANU, chunguza utabaini mjomba!!!
 
Kwasababu ccm ndo yenye faida kwao.

We unataka wawe wapinzani wakose uhuru wa kufanya lolote watakalo?!
 
kwa nini majoja??kwani wale sio wenzetu?
Kama alivodokeza hapo juu mchangiaji mmoja.
Hakuna watu wanafiki kama wahindi(hata waarabu ingawaje wao afadhali)
Mhindi ni kama paka, atakuja mwenyewe na kujigusisha mwilini mwako na kukubembeleza ikiwa una mnofu unaonukia mkononi.
Kama huna mnofu hata umwite vipi haji na ukimlazimisha huna kitu mkonono anakuparura.
Wahindi hivyo hivyo, watakuambia "eeh dugu veve rafiki angu bana"-ujue kuna anachokitafuta kwako, hata kama ni sahihi tu.
 
nilishataka kuweka comments lakini nasita hapa kwenye red
Kigoma Jimbo aliloshinda Kafulila, Chadema ilimsimamisha Mhindi na alishiriki kwenye Mstakabali wa Uchaguzi ulieoendeshwa na TBC - Tido Mhando alishindwa kwa kura sio zaidi ya 200
 
hawa jamaa wote ni wanachama wa ccm,kwa nini hawaendi upinzani?

Usiwe na shaka watajiunga na chama cha upinzani kitakachoshinda uchaguzi mkuu na kuwa chama tawala. Inshallah CDM wakishinda uchaguzi wa 2015 utawaona makada watanzania wenye asili ya asia wakijiunga na chama hicho kwa nguvu mpya, ari mpya na kasi mpya.
 
hawa jamaa wote ni wanachama wa ccm,kwa nini hawaendi upinzani?

Yule Sabodo aliyetoa milioni 100 kwa CDM ni mhindi anayeona mbali sana! Vinginevyo wahindi na waarabu wanaifurahia CCM kishenzi kwani ndio kichaka chao cha kufanya ufisadi na kukwepa kodi na kufanya biashara haramu, unafikiri watapenda cdm ishike nchi?
 
Kule Moshi wahindi na waarabu kama akina Panjuani waliokuwa wakitamba kwa maduka makubwa ya electric appliances sasa utawaonea huruma! Wamesimama ndani ya maduka yao wakitazamana wao kwa wao, hawana ujanja hakuna mtu ananunua kwao.

Ukienda Arusha mambo yanakuwa hivyo hivyo, utasikia wakisema "biashara hapana mzuri hapa hii Chagga nahararibu bishara hapa". Angalia akina Manji walivyogombana na Mengi, hawataki kumwona mtanzania akifanya biashara kubwa na watu wa aina hii ni tishio kwao.

Na hili wameliingiza kwenye siasa kwa kuwachochea watu wafikiri CDM ni ya wachagga na wangependa kama nchii wachagga wanafutika wote ili waweze kunyonga vizuri zaidi.

Tuwe macho na hawa wanyonyaji na tuache kuwashabikia kipumbavu!
 
Kwahiyo unamaana kuwa hii topic ni vita ya wachaga na wahindi...sio swala la kisiasa?
 
Back
Top Bottom