Hivi kwanini WAARABU wanapenda tigo

Hivi kwanini WAARABU wanapenda tigo

Status
Not open for further replies.
Nawajua,aliwakataza wanafunzi wasiende huko kwa sababu hakuagizwa aende huko na waende kwa mataifa ya Israel tu, na hapo ilikuwa kabla ya hajakamatwa na kuteswa . Baada ya hapo aliwaamuru wanafunzi wake waende kuhubiria mataifa yote including Samaria kwa sababu sasa alikuwa amepewa maagizo ya kufikisha ujumbe dunia nzima.
Rejea kusoma tena hapo chini. Sikutarajia wewe kuuliza hili swali ikiwa ulisoma hapo chini.

Maneno ya mwisho ya Jesus: Mathew chapter 28: The Great Commission 16 Then the eleven disciples went to Galilee, to the mountain where Jesus had told them to go. 17 When they saw him, they worshiped him; but some doubted. 18 Then Jesus came to them and said, "All authority in heaven and on earth has been given to me. 19 Therefore go and make disciples of all nations, baptizing them in the name of the Father and of the Son and of the Holy Spirit, 20 and teaching them to obey everything I have commanded you. And surely I am with you always, to the very end of the age."
........bado hujajibu swali ! kwanini wametajwa "Samaritan" ? .........ipo sababu ?....kama hujui sema upigwe shule !
Hiyo aya yako inatenguliwa na ule utabiri wa Yesu, ........atazaliwa mwokozi atakae chunga nyumba yangu Israel !
Hivi kwa nini Wayahudi wana Dininyao ya Kiyahudi na hawamfuati Yesu ? .......jibu kwanza la 'samaritan' !!
 
Sio kila Mwarabu ni Muislam, kuna Waarabu wenye dini za ajabu kabisa. Waarabu wa aina hiyo binafsi huwaona kama wana laana, hawa ni makafir, hawana hofu ya Mungu na hutenda mabaya bila ya kujalisha athari za kimwili na akili atazozipata wamfanyiaye ubaya.
Mkuu BujiBuji nimekuwa nikikuheshimu sana kwa makala zako na mchango wako kwenye mada nyingi humu jamvini. Sikujua kama unaweza kutamka upuuzi wa hali ya juu kama hili.

hembu tuambie ni Mungu gani wa waarabu aliyeruhusu huu mchezo na ni kitabu gani ili nasi tufanye refference
 
........bado hujajibu swali ! kwanini wametajwa "Samaritan" ? .........ipo sababu ?....kama hujui sema upigwe shule !
Hiyo aya yako inatenguliwa na ule utabiri wa Yesu, ........atazaliwa mwokozi atakae chunga nyumba yangu Israel !
Hivi kwa nini Wayahudi wana Dininyao ya Kiyahudi na hawamfuati Yesu ? .......jibu kwanza la 'samaritan' !!
Labda tumetofautiana uwezo wa kuelewa kama umeshindwa kupata jibu kuhusu swali lako kwenye hizo scripture nilizokupa then I wonder hata shule umeiwezaje, kama ulikwenda.
Kwenye red nipe scripture ambazo zinaonyesha huo utabiri wa Yesu.
 
Labda tumetofautiana uwezo wa kuelewa kama umeshindwa kupata jibu kuhusu swali lako kwenye hizo scripture nilizokupa then I wonder hata shule umeiwezaje, kama ulikwenda.
Kwenye red nipe scripture ambazo zinaonyesha huo utabiri wa Yesu.

........ukipekuwa pekuwa Biblia hakuna sehemu Yesu anasema 'sikutumwa ila kwa kondoo wa nyumba ya Israeli ?
shule !? ............najua kusoma na kuandika, kidhungu, kiarabu na kiswahili !
.....swali liko pale pale, kwa nini Yesu aliwakataliwa wanafunzi wake wasiingie mji wowote wa Samaria ?
..................ngoja nikusaidie kidogo, umewahi kusikia neno: Msamaria mwema ?......kifupi kwenye swali langu kuna Hekima kubwa sana, na ukipata jibu lake utajua kwa nini Yesu aliwakataza wanafunzi wake wasiende "samaria" !!
pengine wewe unaweza kuwa Msamaria ila hujijui !
 
Dini yao inaruhusu hako kamchezo!

"................Hakika Sisi tumewafanya mashetani kuwa ni marafiki wa wasio amini ( Wakristo)! Al Ar'aaf: 27.

"Na wanapo fanya mambo machafu husema: Tumewakutanayo baba zetu, na Mwenyezi Mungu ametuamrisha hayo. Sema: Hakika Mwenyezi Mungu haamrishi mambo machafu. Mnamzulia Mwenyezi Mungu msiyoyajua. Al Ar'aaf: 28


Sema (waambie makafiri): Mola Mlezi wangu ameamrisha uadilifu, na mumuelekezee nyuso zenu kila mnapo sujudu, na muombeni Yeye kwa kumsafia Dini (bila kumshirikisha). Kama alivyo kuumbe mwanzo ndivyo mtakavyo rudi.
Al Ar'aaf: 29.


Kitabu kisicho na shaka, hata mkinuna !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom