Hivi kwanini tunaishi?

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,492
8,295
Itifaki izingatiwe,,mabibi na mabwana nawasalimu.
Nimekaa hapa nawaza,hivi kwa nini tunaishi?ni kwa faida ya nani?Tunafanya kazi ili tule,tuvae,tujenge,nk ndiyo kuishi kwenyewe.tunaoa,tunazaa,tunakufa,ndiyo mwisho hapo.Lakini hayo masumbifu yote ni ya nini? Nani anajua.
 
Swali lako sijalielewa vizuri, tunaishi kwa sababu tulijikuta tumezaliwa watu. Hakuna aliyechagua kuzaliwa. Kuishi ni lazima, na masumbufu ya maisha ni mhimu ili uweze kuishi na hili waweza kuchagua sasa, ukiamua kutotafuta utakufa njaa na mwisho ukaishia hapo, lkn ni vema unaowazaa ambao hawana uwezo wa kuchagua ukawahurumia ili waweze kuishi vizuri.
 
Sasa mbona umejibu?Kwa hiyo siyo faida wala nini ni lazima.
 
Swali lako sijalielewa vizuri, tunaishi kwa sababu tulijikuta tumezaliwa watu. Hakuna aliyechagua kuzaliwa. Kuishi ni lazima, na masumbufu ya maisha ni mhimu ili uweze kuishi na hili waweza kuchagua sasa, ukiamua kutotafuta utakufa njaa na mwisho ukaishia hapo, lkn ni vema unaowazaa ambao hawana uwezo wa kuchagua ukawahurumia ili waweze kuishi vizuri.
What is the purpose of life?
 
Itifaki izingatiwe,,mabibi na mabwana nawasalimu.
Nimekaa hapa nawaza,hivi kwa nini tunaishi?ni kwa faida ya nani?Tunafanya kazi ili tule,tuvae,tujenge,nk ndiyo kuishi kwenyewe.tunaoa,tunazaa,tunakufa,ndiyo mwisho hapo.Lakini hayo masumbifu yote ni ya nini? Nani anajua.
umevurugwa wewe, kwani we ndo kiumbe wa kwanza kuja duniani, dunia inazaidi ya miaka 30M. fanya maendeleo kwa kizazi chako la sivyo utacha majanga huku nyuma siku umerudi mavumbini. miafrika tunawazaga mbofu mbofu sana
 
Kwani uongo mkuu?nimevurugwa tikitiki.
 
Tunaishi ili tumwabudu Mungu, na ukimtumikia kwa akili zako na nguvu zako bila mawaa utaishi muda mrefu maana anataka uyasimulie makuu alokutendea.

Ndio akili yangu imefika mwisho hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom