Kuna kitu kimoja nimekuwa najiuliza kwa mda mrefu hivi kwanini tovuti ya wizara ya elimu tanzania kwanini haifanyi kazi? Kuna nini wanaficha? Hii wizara ilikuwa active for past years lakini baada ya kuingia ndalixhaxko tumona hakuna updates yeyote ambayo unaweza ukaipata kutoka tovuti ya wizara ya elimu wanaficha nini? Maaanake hatuwaelewi? Yaaani kazi kazi yao imekuwa ni kutangza wanafunzi bora na shule bora.? Shubamit alle alllleeeeee