Hivi kwanini TANZANIA ma'handsome' wachache?

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,711
Reaction score
5,641
Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie
 
Yani hata mi naskitika tuko wachache kweli mahandsome!! Chama chetu cha mahandsome tumefanya audition kupata watu lakn kila wanaokuja hawakidh vigezo *heheh*
 
Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie

Beauty is in the eye of the beholder. Kama kwako sio wahendiii kuna wenzio wanawapenda kwa saanaa. Kibaya kwako kizuri kwa wenzio. Jiulize ni kwanini akina dada wa kikenya, Namibia, etc wanawafia kichizi wakaka wa kibongo esp. miji mingi US.
Ukasusa wenzio wala. Tuwekee picha yako tukuone.
 
....kwehe kwehe...hata mie ujanani nilikuwa hendisamu kweli...
 
Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie

kwa hiyo tatizo lako ni lipi? kipi ni bora ukahaba au ushoga? unaonekana unalalamika...kwa wengi ni bora ukahaba kuliko ushoga
 
Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie
Wanaume wa tanzania wanapaka cologne bila deodorant .wanapaka Vaseline hawapaki lotion hawapaki.sabuni ya mraba hawatumii shower gell.
 
Beauty is in the eye of the beholder. Kama kwako sio wahendiii kuna wenzio wanawapenda kwa saanaa. Kibaya kwako kizuri kwa wenzio. Jiulize ni kwanini akina dada wa kikenya, Namibia, etc wanawafia kichizi wakaka wa kibongo esp. miji mingi US.
Ukasusa wenzio wala. Tuwekee picha yako tukuone.

kuna ukweli ndani yake hapa umeish US.?
 
Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie

Umelinganisha na wapi?? nchi jirani au ulaya au marekani??
kama umelinganisha na marekani umepotea kabisaaaaaaaaaa!!!!
 
Wanaume wa tanzania wanapaka cologne bila deodorant .wanapaka Vaseline hawapaki lotion hawapaki.sabuni ya mraba hawatumii shower gell.
Sasa wewe binti Jikas ni wote bara na visiwani au wale wachache unao wafahamu?
 
To put it bluntly (no offense intended) it is believed that good looking guys have no game.

An average, below average guy can walk in there with serious game and close sets.

You can be super great looking, but if you never display values other than your looks, you will never get anywhere with the opposite sex.

Unfortunately, guys who think they’re handsome; they don’t take efforts to develop their personality. They believe that girls will like them because of their handsome.

At the end of the day, a girl will pick a guy not because of his handsome, but his personality. And, to some girls, your wallet, of course.

Men are visual but women are not the same. Men focus on their game and don’t rely on the shut up and look pretty method that leads them to go home alone at night for ages.
 
Hiv jamani mbona bongo tz wanaume wazuri na wenye mvuto ni wakuhesabu, wengi wao ni wabaya na sura zao mbaya. Hii inafaida ya kupunguza USHOGA. Lakini hasara pia inaongeza biashara ya ukahaba, sura mbuzi wananunua makaba sana. Pia faida nyingine , kwa sababu wanaume wa bongo wengi wabaya inawabidi kufanya kaz kwa bidii ili wawe na pesa mademu wawaheshmu. Na wengi mtaosoma hapa itawagusa sana. By ........ Mtoto wa mkubwa mie

uhandsome ni mfukon aisee hizo nyingine ni mbwembwe tu.............
 
mwanaume hasifiwi sura,
mwanaume hasifiwi kula,
mwanaume hasifiwi kuoga na kupaka mafuta,
mmemuona jk mlomsifia kuwa mmepata rais handsome, mtanashati, mwenyemvuto, wa kuchekacheka ... yamewatokea puani
mwanaume kazi bana, mwanaume kitandani, mwanaume wallet yaani mfuko, mwanaume maamuzi, mwanaume msimamo
 
wabaya ndio wenye bamia kubwa,na ndio wanaoweza kazi 'match inaenda dk 90' bila half time!!!!!km unataka usharobaro k2 nusu goli!!!
 
Back
Top Bottom