Embu naomba kuuliza maana sielewi.
Kila nikitongoza madem wananiangalia tokea chini hadi juu alafu wananisonya; then wanaondoka.
Daah, hii hali inaniskitisha sana sina raha kabisa jinsi ninavyodharauriwa hadi muda mwingine nafikiria kujitoa uhai. Huu mwaka wa 27 sijawahi ishi na mwanamke hakuna anayenitaka.
Wana JF, ushauri wenu tafadhari nakosa raha kabisa ndugu zangu.