Nadhani wanahofu labda mwili wako umekimbilia sehemu moja
daaaaaa sasa kwann nisicheke hii comment
Nadhani wanahofu labda mwili wako umekimbilia sehemu moja
Inamana hata maana hata machangu wanakukataa?
huku ni inch sita
Kweli Mungu hakunyimi kila kitu. Kimo futi 4 dushelele inchi 6 duh!huku ni inch sita
Tafuta wanawake wafupi kama wewe au wafupi zaidi yako.
Problem solved!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Jaman mie naomb kupandia hapahapa,mie ni mrefu alaf kdgo nmejaa,tatizo langu napendwa na videm vidogo vidgo wale saiz yangu hata uwa cjisumbui hatanitaki,hii imekaaje wadau?
embu naomba kuuliza maana sielewi kila nikitongoza madem wananiangalia tokea chini hadi juu alafu wananisonya then wanaondoka daah hii hali inaniskitisha sana sina raha kabisa jinsi ninavyodharauriwa hadi muda mwingine nafikiria kujitoa uhai huu mwaka wa 27 sijawah ishi na mwanamke hakuna anayenitaka wana jf ushauri wenu tafadhari nakosa raha kabisa ndugu zangu
Na wewe hutupendi wanaume wafupi???
Kwa mapenzi ya dot com kweli mwanaume ukiwa mfupi ni tatizo, kwa sisi wachache ndio hatujali umbile ila wanawake walio wengi na mwanaume mfupi karne hii hawana time kabisaaa
Tatizo uko desparate au haunotice wanaokuadmire na kuwafuata wanaohusudu looks kuliko utu.
Kuna mawili:-
1. Tulia, sali na wait for God's time n choice au
2. Tafuta pesa mingi, ili pesa iwe kivutio (hii ni very artifiacial way as bado as a person hupendwi bali kile ulichonacho).
embu naomba kuuliza maana sielewi kila nikitongoza madem wananiangalia tokea chini hadi juu alafu wananisonya then wanaondoka daah hii hali inaniskitisha sana sina raha kabisa jinsi ninavyodharauriwa hadi muda mwingine nafikiria kujitoa uhai huu mwaka wa 27 sijawah ishi na mwanamke hakuna anayenitaka wana jf ushauri wenu tafadhari nakosa raha kabisa ndugu zangu
Nimekupenda bure Mrembo by Nature manake nshaanza kujihofia na ufupi wangu huu..umenipa mahope!..Uzuri na mie sio dot com
embu naomba kuuliza maana sielewi kila nikitongoza madem wananiangalia tokea chini hadi juu alafu wananisonya then wanaondoka daah hii hali inaniskitisha sana sina raha kabisa jinsi ninavyodharauriwa hadi muda mwingine nafikiria kujitoa uhai huu mwaka wa 27 sijawah ishi na mwanamke hakuna anayenitaka wana jf ushauri wenu tafadhari nakosa raha kabisa ndugu zangu
Hahahaha mie sipendwi bure bana, khaaa kumbe na wewe ndo wale wale team chifupi, hahah kweli market yenu iko limited kwa wenye true love tu. Kuna baba ni mfupi sana alioa enzi za mwalimu kabla ya dotcom, basi mkewe toka dotcom ianze hataki hata kuongozana nae, mke anapigwa nje balaa, mke anapenda ongozana na wale wanaume wenye sifa za urefu, giant n.k kuliko kuongozana na mumewe, ati anamtia aibu! ni ngumu kumesa lakini ndio ukweli.