Hivi kwanini sisi wanaume wafupi hatupendwi na wanawake?

Izzo G

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
414
62
Embu naomba kuuliza maana sielewi.

Kila nikitongoza madem wananiangalia tokea chini hadi juu alafu wananisonya; then wanaondoka.

Daah, hii hali inaniskitisha sana sina raha kabisa jinsi ninavyodharauriwa hadi muda mwingine nafikiria kujitoa uhai. Huu mwaka wa 27 sijawahi ishi na mwanamke hakuna anayenitaka.

Wana JF, ushauri wenu tafadhari nakosa raha kabisa ndugu zangu.
 
embu naomba kuuliza maana sielewi kila nikitongoza madem wananiangalia tokea chini hadi juu alafu wananisonya then wanaondoka daah hii hali inaniskitisha sana sina raha kabisa jinsi ninavyodharauriwa hadi muda mwingine nafikiria kujitoa uhai huu mwaka wa 27 sijawah ishi na mwanamke hakuna anayenitaka wana jf ushauri wenu tafadhari nakosa raha kabisa ndugu zangu

Izzo achana na mambo ya sijui urefu sijui unene sijui weupe .....we tafuta hela uone wanawake watakavyokushobokea......hapendwi mtu siku hizi ni pochi tu inapendwa.....kalaghabao
 
Last edited by a moderator:
baadh ya watu wana 6ft and above, mahandsome na bado hawapat wanawake wanaowakubal kw hyo kukosa dem c kw ajili ya ufup wako mkuu labda unahangaika kutafuta waco type yako au ambao huwavutii.. tafuta type yako hutachukua hata wiki moja ushapata
 
embu naomba kuuliza maana sielewi kila nikitongoza madem wananiangalia tokea chini hadi juu alafu wananisonya then wanaondoka daah hii hali inaniskitisha sana sina raha kabisa jinsi ninavyodharauriwa hadi muda mwingine nafikiria kujitoa uhai huu mwaka wa 27 sijawah ishi na mwanamke hakuna anayenitaka wana jf ushauri wenu tafadhari nakosa raha kabisa ndugu zangu
Nadhani wanahofu labda mwili wako umekimbilia sehemu moja
 
Ufupi unaouzungumzia ni upi Izzo G? Andika mistari vizuri kiranja...utampata tu angalau mmoja
 
Last edited by a moderator:
Jaman mie naomb kupandia hapahapa,mie ni mrefu alaf kdgo nmejaa,tatizo langu napendwa na videm vidogo vidgo wale saiz yangu hata uwa cjisumbui hatanitaki,hii imekaaje wadau?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom