Uko sahihi 100%. Tulia inakuja gwajima aliwai dokeza wakati wa corona, yenyewe itakuwa mfano wa kama IP address, ila bado haikajulikana kama itakuwa physical address ( samahani kuchanganya lugha) kama uko muslim sio rahisi ila wakristo wengi wanajua ni mfumo ambao dunia inaelekea huko yaani One World Order. Google utapata maelezo ya kutosha. Au tafuta the last pope.
Inaelekea una akili nyingi ndani ya
kichwa