Hivi kwanini Mwl. Nyerere hakupewa PhD?

Fanya Research kabla ya kuweka Hoja Wajameni Dah; Nyerere alipewa Ph.D na alikuwa anaitwa Dr. Mara nyingi tu Most of the time alipokuwa South South Commission

Mkuu nashukuru kwa kuwafahamisha hawa vijana.
 
Jamani mbona mnamwonea hivi mzee wa watu? Mwenyewe katulia tulii..., nyie wenyewe ndio mnaemwita doctor...!
 
Hakupenda Sifa Za Kijinga
 

Hapo vipi Rtd Lt. Jakaya M. Kikwete

Umekosea mkuu, ni Rtd Col. Jakaya M. Kikwete na hiyo title ndio yake haswa na ingefaa aitwe hivyo, kama wanavyoitwa kina Cpt Komba, Chiligati na Lt Y. Makamba.
 
Mifano yoooote mnatolea kwa Dr. J. k. Kikwete tu. Mmesahau yupo na Dr. R. A. Mengi! Wapo wengi ati.
 
 
Hakupenda aitwe dr bali dictactor nyerere
 
[FONT=Arial, Helvetica]Thursday, October 14, 1999 Published at 09:08 GMT 10:08 UK[/FONT]


[FONT=Arial, Helvetica]World: Africa[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica]Julius Nyerere: The conscience of Africa[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica]Julius Nyerere: A vision of self-reliance for Africa[/FONT]

[FONT=Arial, Helvetica]

[TD="bgcolor: #eeeeee"] [/TD]
[TD="width: 12"] [/TD]

[TD="bgcolor: #eeeeee"][FONT=Arial, Helvetica] The BBC's James Robbins on the life of Julius Nyerere [/FONT][/TD]
Dr Julius Nyerere, who has died aged 77, led the former British protectorate of Tanganyika to independence in 1961, becoming its first prime Minister and later its first president.
[/FONT] [FONT=Arial, Helvetica]His country was withdrawn from British rule without violence and with comparatively little racial bitterness. Dr Nyerere acquired in the process the reputation of being a moderate, an idea that was encouraged by his personal modesty and his preference for Western values. [/FONT]
:welcome:
 
Mm nafikiri Komba alitaka uliza Nyerere alipata PhD za heshima nyingi sana ila alikua hajiiti Dr! Iweje JK with his co-pilot members hawataki wasiitwe Dr's?
 

Dr Julius Nyerere, Jomo Kenyatta and Dr Milton Obote-- used to converge for their political meetings while in Arusha.
 
Hakupenda Sifa Za Kijinga


[TD="align: right"]

[FONT=Verdana,Arial,sans-serif] © FZS [/FONT]

[TD="colspan: 3"]
[/TD]

[FONT=Verdana,Arial,sans-serif][/FONT][FONT=Verdana,Arial,sans-serif]Dr. Julius Kambarage Nyerere[/FONT][FONT=Verdana,Arial,sans-serif]
by Dr. Markus Borner, Regional Representative of the Frankfurt Zoological Society
[/FONT] [FONT=Verdana,Arial,sans-serif] "The survival of our wildlife is a matter of grave concern to all of us in Africa. These wild creatures amid the wild places they inhabit are not only important as a source of wonder and inspiration, but are an integral part of our natural resources and our future livelihood and well being.
In accepting the trusteeship of our wildlife we solemnly declare that we will do everything in our power to make sure that our children's grand-children will be able to enjoy this rich and precious inheritance.
The conservation of wildlife and wild places calls for specialist knowledge, trained manpower and money, and we look to other nations to co-operate with us in this important task - the success or failure of which not only affects the continent of Africa but the rest of the world as well."

Julius K. Nyerere, Arusha Manifesto, 1961
[/FONT]
[FONT=Verdana,Arial,sans-serif]Nyerere's philosophy to protect and cherish Tanzania's spectacular wildlife as a prime national heritage is expressed in the high priority the Tanzanian government has given to conservation of natural resources. At independence Tanzania had only one national Park, the Serengeti. Since then 12 more Parks were created, about 4.5 % of the country are National Parks; nearly a quarter is under some form of protection as Game- and Forest Reserves.[/FONT]
[/TD]
:violin:
 
Zingatia msingi wa Swali Kikongwe!

StoryJust twenty years ago, Dr Julius Nyerere -- already the outstanding political figure in his country -- became president of what was then called Tanganyika. It was the first British-ruled territory in East Africa to achieve independence. Its development into the United Republic of Tanzania of today has been largely his creation.

SYNOPSIS: Julius Nyerere's leadership has been described as "wise and dynamic". But his programme for economic development in Tanzania on socialist lines is now facing a serious crisis. Dr Nyerere said recently that Tanzanians were poorer now than they were a decade ago. The nations; economy has been stricken by the world recession and by falling production.

On December 9, 1962, Tanganyika became a republic and Dr. Nyerere the first president. One year earlier -- after being elected Prime Minister -- he celebrated the birth of the new sate... In honour of "Uhuru", meaning Freedom, the lights blaze out over the capital, Dar-es-Salaam...Nyerere and his Tanganyika African National Union were firmly in power.


JF Daima:ranger:
 

And the point is?
 

KombaJr,

..Nyerere alikuwa hataki kuitwa Doctor, alipendelea zaidi title ya Mwalimu. Vinginevyo vyombo vya habari vya wakati ule wa chama kushika hatamu vingekuwa vinamuita doctor kama ilivyotokea kwa Salim Ahmed Salim, Keneth Kaunda,na Milton Obote.

..Kwa haraka tu nadhani alipewa shahada za heshima na Univ of Cairo, Univ of Havana, Edinburgh Univ, etc etc.

..Kwa kumbukumbu zangu Mwalimu alitunukiwa shahada za heshima toka UDSM na Sokoine Univ baada ya kustaafu. Hata Raisi Mwinyi naye alitunukiwa shahada ya heshima baada ya kuondoka madarakani. Ingependeza kama UDSM na UDOM wangeendeleza "utamaduni" huo wa kusubiri Raisi wetu atoke madarakani ndipo wamtunukie shahada ya heshima.
 
Dr Julius Nyerere, Jomo Kenyatta and Dr Milton Obote-- used to converge for their political meetings while in Arusha.

Ritz hebu wawekee na makala za Mzalendo, Mfanyakazi, Sunday News na Uhuru ambamo Nyerere aliitwa Dk maana vijana wa leo kidhungu taabu (skuli za kata).....
 

Hata kama nimekuzidi umri nakuamkia Shikamoo!
 
Ritz hebu wawekee na makala za Mzalendo, Mfanyakazi, Sunday News na Uhuru ambamo Nyerere aliitwa Dk maana vijana wa leo kidhungu taabu (skuli za kata).....

Mkuu wangu RealMan hawa vijana hawakuwepo wakati wa Nyerere.
 
Last edited by a moderator:
Ritz hebu wawekee na makala za Mzalendo, Mfanyakazi, Sunday News na Uhuru ambamo Nyerere aliitwa Dk maana vijana wa leo kidhungu taabu (skuli za kata).....
Haaaaahaaaaahaaaaaaa! Hapa umemuweza... Nyerere hakuwa mshamba kiasi akubali vititle vya kijingajinga kama hivyo. Sipati picha eti mtangazaji wa rtd ya wakati huo amtaje eti sijui Dr. Nyerere amemstaafisha kwa manufaa ya umma fulani bin fulani! Nakwambia huyo mtangazaji angetolewa baru hadi kijijini kwao akawasimulie na wajomba zake ubaya wa unafiki na kujikombakomba!
 
are you trying to justify calling jk dr or what ?
Kila mtanzania leo ukisema dr.nyerere watadhani ni mtu mpya maana hawakuwahi kuzoea ujinga huu .yeye ukisema mwalimu basi hata nani anamjua .

we lazima unachuki binafsi, kwani swali hapo juu limemlenga nani ili wengine wasijihusishe kujibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…