Nafikiri tumeanza kuelewana, mimi kwenye maswala ya kujifunza huwa ni mweupe sana.still research zinaendelea na meaning of scince ni continues/cycle mtu anapoona gap ndipo anapo anzia.
watu walifanya reseach ya mungu hawakumuona,zimebakia imaginations and stories.
Huyu Mungu anaesubiria mpka sayansi imvumbue ana tofauti gani na baadhi ya bacteria?Iko hivi mkuu mimi naipenda sayansi na ninaijua kiasi chake, mapungufu ya sayansi ni kwamba bado kuna vitu vingi haijavigundua.
Hivyo, sayansi haiwezi kuthibitisha kutokuwepo kwa Mungu ila haikubaliani na uwepo wake lakini weka kwenye akili kwamba science sio absolute ni bado ina safari ndefu ya kugundua vitu vingi.
We jamaa ni mtu wa Tanga sindiooNi sawa na wewe na mke wako then aanzishe uhusiano uliosawa na wa kwako kwa mwanaume mwingine.
Tafsiri utayoipata moyoni mwako ndio hiyo iliyomaanishwa kwenye hayo maandiko, halafu upime mwenyewe kama ni sawa au si sawa.
Naona bado haujanielewa.Hayo yote unayoyazungumza yapo katika frame/dimensions za mwanadamu. Kwamba kwa sasa unajua kuna watu na vitu. Lakini yule aliyekuumba kwenye dimensions zake kuna options zingine nyingi sana ila alichagua options hizo kwako. Sasa hauwezi kukomaa kumhoji kwa akili na uelewa wako!Kwa hiyo kwa mfano, Ukitaka kuuliza jina la mtu fulani unaweza kutumia "Wewe unaitwa nini?
Kwa vile hakuna limits?
Na Ukitaka kuuliza kitu fulani unaweza kutumia, " wewe ni nani hicho?
1qkwani tabia yako na mungu zinafanana?
Yasome maandishi yako mara mbili.Huyu Mungu anaesubiria mpka sayansi imvumbue ana tofauti gani na baadhi ya bacteria?
ndiyo hicho hakipo sababu hakijaonekana.Nafikiri tumeanza kuelewana, mimi kwenye maswala ya kujifunza huwa ni mweupe sana.
Hivyo huwezi kuhitimisha na kukataa kitu ambacho huwezi kuthibitisha kutokuwepo kwake.
Tofauti na hapo sema hivi kulingana na utafiti wa sayansi bado haujathibitisha uwepo wa Mungu.
Dah! Kiongozi unataka kugundua niniWe jamaa ni mtu wa Tanga sindioo
Mkuu jibu gumu hilooNi sawa na wewe na mke wako then aanzishe uhusiano uliosawa na wa kwako kwa mwanaume mwingine.
Tafsiri utayoipata moyoni mwako ndio hiyo iliyomaanishwa kwenye hayo maandiko, halafu upime mwenyewe kama ni sawa au si sawa.
Mkuu Tatizo umejibu swali ambalo sijauliza na umechanganya Mindset yangu na watu wengine uliofanya nao Conversation kwenye Mada hii..Sio Biden au Trump tu, hata ndege kuku pundamilia n.k wote ni wahusika katika maisha yangu! Wote ni viumbe hai! Na muumbaji ni mmoja.Who is Biden? Eti anko sijui mjomba! Nani aliyeset hizo limits? Ndiyo maana nasema huwezi kumuelewa au kuelewa akili za Mungu kwa dimensions za akili za kibinadamu ambazo ziko limited! HAIWEZEKANI!
Sayansi ikimvumbua MUNGU, hatakuwa MUNGU tena. Sayansi itajiuliza swali jingine litakalosababisha kuendelea kumtafuta MUNGU naye akivumbuliwa itakuwa hivyo hivyo, game itaenda to infinity. Unadhani kwanini sayansi haiamini katika MUNGU?Huyu Mungu anaesubiria mpka sayansi imvumbue ana tofauti gani na baadhi ya bacteria?
Umetaja fikra , faith na dreams mkuu wewe ni mjanja sana, ndio maana kila siku nakuambieni Mungu ni nadharia iliyo kichwani kwa muumini tu, ndio maana kamwe binadamu hawataweza kuwa na imani moja kuhusu Mungu ,kwa sababu kila mtu ana nadharia yake kutoka kwenye utamaduni wake na mapokea kama athari ya ukoloni.Hapa ndo mnapofeli.
Ukishaambiwa kiroho au kiimani ujue hakuna kemikali za kuchanganya hapo ili patokee reaction.
Kuna mawazo, fikra, faith, dreams, thoughts na mambo yanayofanana na hayo na haya mambo yana impact ya moja kwa moja kama ambavyo unavyokojoa kitandani kwa kuona choo ndotoni.
Kwanza hilo lieleweke halafu ndo mambo ya uthibitisho yafuate.
Ebu ngoja kwani "kwahiyo harmorapa ni sura ya mungu"Mungu alimuumba mtu kwa sura na mfano wake.
Naona mambo ya mungu we unaleta mambo za ndoa na usalitiDah! Kiongozi unataka kugundua nini
Kati ya hivyo viwili kuna kweli ndani yake, ambapo huo ukweli hauna misingi ya dini wala science. huo nimekwambia havihusiani na dini hata kidogo kwanza mm sio mtu wa dini ila ni mtu mwenye kiu ya kuijua kweli.ndiyo hicho hakipo sababu hakijaonekana.
tunaelewana kitu gani mimi na wewe?
jaribu kutambua kuna kitu kinaitwa science ambapo kiini chake ni research na kuna kitu kinaitwa dini ambapo kiini chake ni imani.
Kama haya yote tunayo yazungumza yapo katika frame/dimensions za mwanadamu, Wewe unayesema Mungu yupo unatumia frame/dimensions zipi tofauti na za kibinadamu?Naona bado haujanielewa.Hayo yote unayoyazungumza yapo katika frame/dimensions za mwanadamu.
Umejuaje na kutumia frame/dimensions zipi tofauti na za kibinadamu kujua kwamba uliumbwa?Kwamba kwa sasa unajua kuna watu na vitu. Lakini yule aliyekuumba kwenye
dimensions zake kuna options zingine nyingi sana ila alichagua options hizo kwako. Sasa hauwezi kukomaa kumhoji kwa akili na uelewa wako!
Irrelevant comparison, muweza yote,nguvu zote na unlimited love unamlinganishaje na mtu.Ni sawa na wewe na mke wako then aanzishe uhusiano uliosawa na wa kwako kwa mwanaume mwingine.
Tafsiri utayoipata moyoni mwako ndio hiyo iliyomaanishwa kwenye hayo maandiko, halafu upime mwenyewe kama ni sawa au si sawa.
Sio kila kilichoandikwa unakiamini..Mungu hawez kuwa na wivu hata sku1..Mungu level ya ukamilifu alishaipita..hawez fanya makosa.ndomana kila unachokiona dunian kiko kama kilivyotakiwa kuwa..ni binadamu ndio tunaharibu hyo balance..ni kumkosea sana Mungu kumpa character za kibinadamu.Wataalamu wa bibilia, nakumbuka kuna siku nilisoma hicho kitabu nikaona historia ya mnara wa babeli Mungu aliposhuka na kuwakuta binadamu wanatengeza ule mnara alishtuka na kuwatenganisha kwa lugha pamoja na maeneo ndiyo yakazaliwa mataifa mengine.
Tukio la pili kwenye sura ya mwanzo Mungu baada ya adamu kula ule mti ambao alikatazwa inaonekana ibilisi alikuwa anajua siri ya mti huo wa uzima japo hakuufahamu haswa ni upi ila baada ya Mungu kuona binadamu na jeshi lake watapanga kuutafuta ndiyo akauficha, nimesahau exactly ni wapi.
Case ya tatu, baada ya kuwatoa Wanaisraeli kupitia Mtume wake Musa aliwaambia kuwa yeye ni Mungu mkuu na anawivu hivyo wasiabudu mwengine isipoikuwa yeye.
Je, kwa kauli ya kusema kuna miungu mengine anafahamu kuwa kuna nguvu nyengine tofauti na yeye?
Je, hajiamini na nguvu zake?
Je, Mungu huyu ni tunayemuabudia wakristo na waislamu?
Je, ni binadamu wa mwanzo ambaye aliwahi kutambua siri za ulimwengu na akajitahidi kuzificha na hatimaye akajitolea taji la uungu?
Nawasilisha.
🤣🤣🤣 we unaiona sura yake lakini sio hiyo unayoina kwa mwili, aliyemuumba anamuona tofauti sana na wewe unavyomuona.Ebu ngoja kwani "kwahiyo harmorapa ni sura ya mungu"