Kitakachofanya nikubali au nisikubali ni kutokana na ulinganishi wa sifa/ tabia.Niki kwambia mimi Infropreneur ni Mungu halisi na hakuna mwingine utakubali?
Utakuwa na uthibitisho wa uwepo wa Mungu wako unayesema yupo, uje naye au umwambie aje ani prove wrong kwamba mimi infropreneur sio Mungu, yeye ndio Mungu?
Ataweza kuja?
Toa reason zenye maana, ujinga ni sehemu ya kujifunza.kitu hakipo unakithibitishaje?ebu wacha ujinga basi.
NI wanadamu tu tumekosa neno la kutumia kukataza ibada za vitu vingine.Wataalamu wa bibilia, nakumbuka kuna siku nilisoma hicho kitabu nikaona historia ya mnara wa babeli Mungu aliposhuka na kuwakuta binadamu wanatengeza ule mnara alishtuka na kuwatenganisha kwa lugha pamoja na maeneo ndiyo yakazaliwa mataifa mengine.
Tukio la pili kwenye sura ya mwanzo Mungu baada ya adamu kula ule mti ambao alikatazwa inaonekana ibilisi alikuwa anajua siri ya mti huo wa uzima japo hakuufahamu haswa ni upi ila baada ya Mungu kuona binadamu na jeshi lake watapanga kuutafuta ndiyo akauficha, nimesahau exactly ni wapi.
Case ya tatu, baada ya kuwatoa Wanaisraeli kupitia Mtume wake Musa aliwaambia kuwa yeye ni Mungu mkuu na anawivu hivyo wasiabudu mwengine isipoikuwa yeye.
Je, kwa kauli ya kusema kuna miungu mengine anafahamu kuwa kuna nguvu nyengine tofauti na yeye?
Je, hajiamini na nguvu zake?
Je, Mungu huyu ni tunayemuabudia wakristo na waislamu?
Je, ni binadamu wa mwanzo ambaye aliwahi kutambua siri za ulimwengu na akajitahidi kuzificha na hatimaye akajitolea taji la uungu?
Nawasilisha.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?Anarukaruka tu kama Paka mgonjwa. Hahaha!!
unajua maana ya reasoning?au ni neno limekujia tu?Kitakachofanya nikubali au nisikubali ni kutokana na ulinganishi wa sifa/ tabia.
Toa reason zenye maana, ujinga ni sehemu ya kujifunza.
Sifa gani na tabia zipi?Kitakachofanya nikubali au nisikubali ni kutokana na ulinganishi wa sifa/ tabia.
Toa reason zenye maana, ujinga ni sehemu ya kujifunza.
Nitolee mfano wa hiyo terminology 'wivu' badala ya 'kinyongo'.nimesema wivu sio kinyongo na mtu mpaka awe na hicho kinyongo huwa akili yake haipo katika kufanya kazi.
Maana ya uwepo ni nini?kitu hakipo unakithibitishaje?ebu wacha ujinga basi.
Nimeuliza swali iwapo jambo likiwa fictional maana yake halipo.Kuna sehemu nimesema fictional character maana yake ni kutokuwepo?
Una uliza swali au unataka nini?
that great bro,nilitaka walau jibu liwe hivyo na kama ulifatilia post zangu za nyuma niliuliza swali je,mungu ameumba nguvu inayokinzana nae?kiini cha swali hili kimetokea hapo nimeona gaps kwenye bibilia.NI wanadamu tu tumekosa neno la kutumia kukataza ibada za vitu vingine.
Ila kwa ukuu wa Mungu kuona wivu huu wa kibinaadamu haiwezekani.
Kwa nini nnasema hivi?
Ni kwa sababu wivu unahitaji hao wanaooneana wawe wanalingana au basi wanakaribiana katika uwezo wao wa hicho kitu. Mfano mwanafunzi kumuonea wivu jirani ake aliyempita alama 5. Lakini mwanafunzi wa darasa la tano hayuko kumuonea wivu yule wa darasa la sita maana hawalinganishiki. Umeonaa🤔
Sasa kwa UKUU wa Mungu hana anayekaribiana naye hata amuonee wivu. Hicho kitu hakipo.
Ni basi tu vile wanaadamu tumejitahidi kujaribu kuvaa viatu vya Mungu tukaishia kuwa wanaadamu na ndio tukaweka mambo ya wivu. Tumemuanthropomorphize Saa Godi na tumefeli
Nyie mwanadai kuna Mungu sie twasema hayupo, kimatinki kabisa haiwezekani kuthibitisha kitu ambacho hakipo , wanaodai Mungu yupo wathibitishe ili kukanusha madai yetu ya kutokuwepo kwake.Hitimisho lako ni kuwa hakipo nikumaanisha umethibitisha hakipo, kushindwa kuthibitisha absent yake ni kumaanisha hujui, ni heri ungesema bado sijaikubali knowledge inayoongelea uwepo wa Mungu ningekuelewa ila wewe umesema hayupo hapo nikumaanisha uneshafanya research za kutosha kuthibitisha kauli yako, hivyo nithibitishie kulingana na research zako.
Mimi nakuthibitishia kulingana na maandiko ya biblia pili kukingana theory ya bing bang (time, space, matter and energy) naongelea energy.
Upeo ni kujua kutofautisha mambo, ebu kuwa kama DR Mambo Jambo. Kama una hoja itoe acha bla bla.unajua maana ya reasoning?au ni neno limekujia tu?
hawezi,maana ya kuthibitisha ni kutumia njia thabiti inayoonekana ila yeye atatumia hisia na matukio.Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Na ndo hapa sasa swali la tafsiri ya kutokuwepo MUNGU inapozaliwa. Mtu anaposema hayupo, anamaanisha nini?Hahahah Kitu kisichokuwepo Unawezaje kuthibitisha kama Hakipo😅😅
Nimefurahi Conversation yenu Ndo maana nimetia Neno tu..
Kisayansi kuthibitisha kama kipo au hakipo lazma kuwepo kwanza kitu kinachofanana na hicho ili ukifananishe..
kwa mfano unaweza kusema "Mimi sina macho" kwa sababu Umewahi kuyaona Macho au kuyasikia macho..
Ni Vigumu kumwambia Kipofu Athibishe kwa kuelezea tifauti Kati ya Basi na Coaster.. (Kwa sababu hajawahi kuviona)..
Naweka sawa kwamba nimependa Conversation Yenu kuhusu Uthibitisho wa kitu Kisichokuwepo..
Ila....
"I mean no malice toward anybody."
Umejibu kwa akili sana , japo haujawaambia ukwel vijana kuwa Mungu ni nadharia tu.NI wanadamu tu tumekosa neno la kutumia kukataza ibada za vitu vingine.
Ila kwa ukuu wa Mungu kuona wivu huu wa kibinaadamu haiwezekani.
Kwa nini nnasema hivi?
Ni kwa sababu wivu unahitaji hao wanaooneana wawe wanalingana au basi wanakaribiana katika uwezo wao wa hicho kitu. Mfano mwanafunzi kumuonea wivu jirani ake aliyempita alama 5. Lakini mwanafunzi wa darasa la tano hayuko kumuonea wivu yule wa darasa la sita maana hawalinganishiki. Umeonaa🤔
Sasa kwa UKUU wa Mungu hana anayekaribiana naye hata amuonee wivu. Hicho kitu hakipo.
Ni basi tu vile wanaadamu tumejitahidi kujaribu kuvaa viatu vya Mungu tukaishia kuwa wanaadamu na ndio tukaweka mambo ya wivu. Tumemuanthropomorphize Saa Godi na tumefeli
Historia unaijua lakini?Ibrahimu hana Asili ya Utanzania wala Ukushi😅😅
Fictional ni dhana au jambo la kufikirika halipo katika uhalisia ila katika mawazo ya kufikirika.Nimeuliza swali iwapo jambo likiwa fictional maana yake halipo.
Yeye ni Alfa na OmegaKwa nini unaamini kila kitu lazima kitoke mahali ila hauamini pia Mungu kuna mahala katoka ?
Mungu ni nani?Akili ni nini?