MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Wewe mwenyewe hapo hauna akili! Kama unabisha thibitìsha 😄Mungu wa kwenye biblia na Quran hayupo, laiti kama angekuwepo asingekuwa na madhaifu makubwa kiasi hicho.
Huo mnara kabla haujajengwa, Mungu ajuae kesho yetu na ajuae kila kitu kuhusu sisi angeshatambua mawazo ya binadamu kutaka kujenga mnara na angesitisha hilo zoezi mapema.
Huyo shetani ambae alimdanganya adam na hawa kula tunda, angeshamuua zamani sana, Mungu muweza wa yote, mwenye upendo wote asingeruhusu tuishi na shetani wakati anajua shetani ana nguvu kuliko sisi.
Miungu wengine ni kama ipi?Unapoandika jina la Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo tofautisha na miungu wengine kwa kuanza na Capital letter M au tumia capital letter MUNGU
Hao wanadamu waliotunga wametoka wapi?Kwa sababu Mungu hayupo na waliotunga hizo story ni wanadamu wenye tabia za ovyo kama wivu ,hasira na kupanic kirahisi, wakazieleza hizo tabia zao za ovyo kuwa ndio za Mungu.
You’re just an imposter.Mungu wa kwenye biblia na Quran hayupo, laiti kama angekuwepo asingekuwa na madhaifu makubwa kiasi hicho.
Huo mnara kabla haujajengwa, Mungu ajuae kesho yetu na ajuae kila kitu kuhusu sisi angeshatambua mawazo ya binadamu kutaka kujenga mnara na angesitisha hilo zoezi mapema.
Huyo shetani ambae alimdanganya adam na hawa kula tunda, angeshamuua zamani sana, Mungu muweza wa yote, mwenye upendo wote asingeruhusu tuishi na shetani wakati anajua shetani ana nguvu kuliko sisi.Mbona
Unaji contradict mwenyewe kama umesema ni muweza wa yote ndo mana amefanya pia na hilo ambalo wewe unalitoa kwenye uweza wake..Unamuiga Kiranga halafu kichwani una brain tumor?Mungu wa kwenye biblia na Quran hayupo, laiti kama angekuwepo asingekuwa na madhaifu makubwa kiasi hicho.
Huo mnara kabla haujajengwa, Mungu ajuae kesho yetu na ajuae kila kitu kuhusu sisi angeshatambua mawazo ya binadamu kutaka kujenga mnara na angesitisha hilo zoezi mapema.
Huyo shetani ambae alimdanganya adam na hawa kula tunda, angeshamuua zamani sana, Mungu muweza wa yote, mwenye upendo wote asingeruhusu tuishi na shetani wakati anajua shetani ana nguvu kuliko sisi.
Niki kwambia mimi Infropreneur ni Mungu halisi na hakuna mwingine utakubali?Sawa ila inaonesha huna uhakika na majibu yako, kama kweli toa reason yenye kuwa na ushawishi.
Kiongozi nimeshakusisitiza unapotumia neno Mungu kama unarefer Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo basi anza na capital letter M au tumia capital letter MUNGUnashangaa sana bibilia inavyomuelezea mungu as if binadamu utakuta andiko linasema upon wapi wewe adamu,na adamu akaitika niko hapa mungu wangu.
mda mwengine wanasema mungu alikuwa anatembelea bustani...this is human behaviours
Hitimisho lako ni kuwa hakipo nikumaanisha umethibitisha hakipo, kushindwa kuthibitisha absent yake ni kumaanisha hujui, ni heri ungesema bado sijaikubali knowledge inayoongelea uwepo wa Mungu ningekuelewa ila wewe umesema hayupo hapo nikumaanisha uneshafanya research za kutosha kuthibitisha kauli yako, hivyo nithibitishie kulingana na research zako.Unataka uthibitisho wa kitu ambacho hakipo?
Labda unataka uthibitisho wa namna gani?
Maana kitu chenyewe unachotaka nikupe uthibitisho hakipo.
Kisichokuwepo hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kwamba kipo.
Una elewa hilo?
Ibrahimu hana Asili ya Utanzania wala Ukushi😅😅Ndiye huyohuyo! Mungu wa babu yangu Adam na bibi yangu Eva.Mungu wa babu yangu Ibrahimu. Mungu wa babu yangu Isaka na Yakobo!
Kwa hiyo kuna uwepo wa nini? Unadhani ulimwengu upo tu from nowhere?Hizi dini na uwepo wa Mungu ni uongo uliotukuka.
Kuna sehemu nimesema fictional character maana yake ni kutokuwepo?Fictional character maana yake ni kutokuwepo?
Warumi walikuwa na miungu yao, vivyo hivyo wamisri, wahindi, hata waafrika waliokuwa wanaahudu miungu ya kale n.k Ila Mungu wa kweli ni mmoja, MIMI NIKO AMBAYE NIKOMiungu wengine ni kama ipi?
Wewe mwenyewe hauna akili! Kama unahisha njoo nazo ukiwa umezibeba 😄Niki kwambia mimi Infropreneur ni Mungu halisi na hakuna mwingine utakubali?
Utakuwa na uthibitisho wa uwepo wa Mungu wako unayesema yupo, uje naye au umwambie aje ani prove wrong kwamba mimi infropreneur sio Mungu, yeye ndio Mungu?
Ataweza kuja?
Kwanza tuanze, Mungu ni nini?Hitimisho lako ni kuwa hakipo nikumaanisha umethibitisha hakipo, kushindwa kuthibitisha absent yake ni kumaanisha hujui, ni heri ungesema bado sijaikubali knowledge inayoongelea uwepo wa Mungu ningekuelewa ila wewe umesema hayupo hapo nikumaanisha uneshafanya research za kutosha kuthibitisha kauli yako, hivyo nithibitishie kulingana na research zako.
Mimi nakuthibitishia kulingana na maandiko ya biblia pili kukingana theory ya bing bang (time, space, matter and energy) naongelea energy.
Kwa nini unaamini kila kitu lazima kitoke mahali ila hauamini pia Mungu kuna mahala katoka ?Hao wanadamu waliotunga wametoka wapi?
Je huyu ndiye Mungu mmoja wa Wakristo na Waislamu??Mungu wa kweli ni mmoja, MIMI NIKO AMBAYE NIKO
Nimekuuliza akili ni nini hujajibu.Wewe mwenyewe hauna akili! Kama unahisha njoo nazo ukiwa umezibeba 😄
Haujawahi kuwa na akili na hata busara pia hauna!kama unabisha onyeshaMungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Mungu wa kwenye Biblia na maandiko yote ya kidini ni Fictional character sawa na Abunuwasi wa kwenye Hekaya.
Mungu ana ongelewa na binadamu kwa vile Hayupo kujiongelea mwenyewe..
Hahahah Kitu kisichokuwepo Unawezaje kuthibitisha kama Hakipo😅😅Hitimisho lako ni kuwa hakipo nikumaanisha umethibitisha hakipo, kushindwa kuthibitisha absent yake ni kumaanisha hujui, ni heri ungesema bado sijaikubali knowledge inayoongelea uwepo wa Mungu ningekuelewa ila wewe umesema hayupo hapo nikumaanisha uneshafanya research za kutosha kuthibitisha kauli yako, hivyo nithibitishie kulingana na research zako.
Mimi nakuthibitishia kulingana na maandiko ya biblia pili kukingana theory ya bing bang (time, space, matter and energy) naongelea energy.
Ulisoma nomino dhahania kwenye somo la kiswahili?Haujawahi kuwa na akili na hata busara pia hauna!kama unabisha onyesha
Anarukaruka tu kama Paka mgonjwa. Hahaha!!Hitimisho lako ni kuwa hakipo nikumaanisha umethibitisha hakipo, kushindwa kuthibitisha absent yake ni kumaanisha hujui, ni heri ungesema bado sijaikubali knowledge inayoongelea uwepo wa Mungu ningekuelewa ila wewe umesema hayupo hapo nikumaanisha uneshafanya research za kutosha kuthibitisha kauli yako, hivyo nithibitishie kulingana na research zako.
Mimi nakuthibitishia kulingana na maandiko ya biblia pili kukingana theory ya bing bang (time, space, matter and energy) naongelea energy.