Hivi kwanini Mungu ana wivu?

Alie kupangia ni nani ? Amini unacho amini ni haki yako kikatiba, ila wewe na wenzako hakuna mtakacho nifundisha kuhusu hizo hadithi za abunuasi mpka siku nakufa.
Nimekujibu hivyo kwasababu umehoji juu ya kuamini kisichokuwepo, ila na mimi nikakuuliza wewe usiyeamini unadhani upo hapo kwa bahati mbaya?
 
Jibu hoja unaelekea kupagawa mkuu rudi kwenye reli.
Mmeshaelezwa mara nyingi ila mnakaza fuvu. Hauna akili za kuhoji au ku questions utendaji wa yule aliyekuumba! Wewe unatenda na kufikiri kibinadamu ila yeye anatenda na kufikiri kimungu.
 
OK, sifa za kuwepo ni matokeo, Yaani uwepo wako utagusa mwingine kimawazo, kiutendaji, kihisia n.k. Ili tuseme upo lazima kuwe na matokeo ya uwepo wako either kiutendaji, kifikra au kihisia na hayo matokeo yatagusa uwepo wa mtu/vitu vingine. Sahihi?
Okay, endelea
 

Twende taratibu, akili ni nini? mungu ana akili? Unafaham kwamba kuwa na akili ni sifa za kibinadam?
 
Aise nimegundua ninazungumza na mtoto wa kindergarten ambaye hata haujui kanuni za physics na una uelewa mdogo sana wa mambo.
Physics ipi ambayo hauwezi gundua ata pini mkuu, sawa kila kitu lazima kiwe na chanzo , chanzo cha Mungu ni kipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…