Oluwa ni
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 717
- 446
Tabia ya kujisifia ni mbaya sana.
Huyu jamaa sijui wa wap yan....
Jamaa anajiproud knoma ukichunguz vzr utakuta kwao hawana hata baiskel
Tabia ya kujisifia ni mbaya sana.
Mkuu wewe hujamwelewa mleta mada,yuko mauzoni yaani biasharani,jifunze basi na wewe kusoma alama za nyakatiNimesoma vizur ila nilipofikia hapa ckutaka kuendelea maana umenichefua
.
"""sikushangaa kunitongoza kwa kuwa mimi nina mwili uliojengeka kimazoezi pia nina sura yenye kuzuzua mademu"""
Mkuu wewe hujamwelewa mleta mada,yuko mauzoni yaani biasharani,jifunze basi na wewe kusoma alama za nyakati
Wandugu nimekuja hapa mnipe ushauri kidogo
Nilikuwaga na demu wangu she is so cute kwa kweli ila tatizo lake alikuwa ananipiga mizinga sana
Huyu demu nilikutana nae kipindi fulani alikuwa boy wake sema huyo boy wake alikuwa bahili sana yani hata vocha alikuwa hamtumii ,demu alimpenda mshikaji sema mshikaji alikuwa hana time nae kabisa
Baadaye demu akaamua aachie ngazi, mwanzoni tulikuwa washkaji sana na huyo demu sema baada ya kuachana na mtu wake akaamua anitamkie ananipenda mimi na angependa niwe mpenzi wake ,mm nikaona poa tu pia sikushangaa kunitongoza kwa kuwa mimi nina mwili uliojengeka kimazoezi pia nina sura yenye kuzuzua mademu so suala la kunitongoza sikuona la ajabu sana
Sema tatizo lilikuja kuanza pale nillipogundua huyu demu ni mtu wa mizinga sana pia ni muongo muongo sana na mbaya zaidi uongo wake anawashirikisha rafiki zake ili iwe rahisi kunidanganya
Huyu demu ilikuwa nikitoka nae nijipange haswa ,chini ya laki 3 lazima niaibike kabisa kwa kuwa kila kizuri atachokiona lazima atake nimnunulie nisipo fanya hivyo anakasirika na haongei na mimi wiki nzima akipiga simu lazima atake pesa
Pia alikuwa na tabia ya kuwalingishia wenzake kuhusu mimi ,ilikuwa nikimnunulia kitu cha gharama lazima akawatambie wenzake
Sitasahau siku moja nimetoka nae kwenda MCity kwa gari la kwao mfukoni nilikuwa na laki 5 ,unaambiwa siku hiyo laki 5 yote iliishia hapo hapo mcity mbaya zaidi sikuwa na nauli ya kurudia home na akakataa kabisa kunipeleka home nilijuta sana kwa nini sikwenda na gari kwa kweli,sema kwa bahati nzuri bro wangu alikuwa kaenda tegeta nikampigia simu akirudi anipitie turudi wote nyumbani kwa kuwa sina nauli ,aisee alinicheka sana kwa kuwa kipindi natoka aliniona nazo pesa zote
Yote tisa kumi suala la yeye kuninyima penzi aisee linaniuma sana alikuwa ananionjesha mara chache chache sana tena sio bure bure mpaka nimpe hela
Baadaye nikawaza nikaona nimpigie simu nimwambie tuachane ila tubaki kuwa marafiki tu kama zamani cha ajabu alichonijibu kilinishangaza sana alinijibu ndio amekubali tuachane na akasema nifute namba yake kabisa na hataki kabisa hata urafiki na mimi
Mwanzoni nilijua anatania maana lugha aliyokuwa anatumia ilikuwa laini sana baadaye siku zilivyozidi kukatika ndo nikaamini alichokuwa anamaanisha
Yaani mpaka sasa sielewi kwa nini huyu msichana alikuwa hanipendi maana kwetu ni matajiri kama kwao na vitu vingi nilikuwa namnunulia kwa kifupi alinifanya kama baba yake ingawa mimi ni mwanafunzi wa chuo tena mwaka wa kwanza kama yeye
Sielewi kwa kweli yani ,naombeni ushauri wenu pia nataka madada wa humu waseme vitu gani wanampendea mwanaume maana sielewi kwa kweli yani
mm sina gari natumiaga magari ya home tuHata kama una hela kiasi gani
Usipende kujisifu na kujionesha
Halafu kiwango cha pesa unapo mpa mwanamke isizidi
Hata uwe na hela Nyingi
Usiwe bahili bali mpe kwa sababu na misingi ipi
Bahati yako huyo demu
Nae wakishua
Ungekutana na watoto wa mbwa
Ungeuza gari na ya bro wako.
Kuwa na misimamo
Mtoto wa kiume
Sasa hapo tukupe ushauri upi wakati mmeachana
Au ushauri jinsi ya kumrudia
Tena.......
Be a gangsta .........
Dogo unajisifia sana. Unaongelea stori za kumuhonga demu laki tano ili tukuone wa kishua amaWandugu nimekuja hapa mnipe ushauri kidogo
Nilikuwaga na demu wangu she is so cute kwa kweli ila tatizo lake alikuwa ananipiga mizinga sana
Huyu demu nilikutana nae kipindi fulani alikuwa boy wake sema huyo boy wake alikuwa bahili sana yani hata vocha alikuwa hamtumii ,demu alimpenda mshikaji sema mshikaji alikuwa hana time nae kabisa
Baadaye demu akaamua aachie ngazi, mwanzoni tulikuwa washkaji sana na huyo demu sema baada ya kuachana na mtu wake akaamua anitamkie ananipenda mimi na angependa niwe mpenzi wake ,mm nikaona poa tu pia sikushangaa kunitongoza kwa kuwa mimi nina mwili uliojengeka kimazoezi pia nina sura yenye kuzuzua mademu so suala la kunitongoza sikuona la ajabu sana
Sema tatizo lilikuja kuanza pale nillipogundua huyu demu ni mtu wa mizinga sana pia ni muongo muongo sana na mbaya zaidi uongo wake anawashirikisha rafiki zake ili iwe rahisi kunidanganya
Huyu demu ilikuwa nikitoka nae nijipange haswa ,chini ya laki 3 lazima niaibike kabisa kwa kuwa kila kizuri atachokiona lazima atake nimnunulie nisipo fanya hivyo anakasirika na haongei na mimi wiki nzima akipiga simu lazima atake pesa
Pia alikuwa na tabia ya kuwalingishia wenzake kuhusu mimi ,ilikuwa nikimnunulia kitu cha gharama lazima akawatambie wenzake
Sitasahau siku moja nimetoka nae kwenda MCity kwa gari la kwao mfukoni nilikuwa na laki 5 ,unaambiwa siku hiyo laki 5 yote iliishia hapo hapo mcity mbaya zaidi sikuwa na nauli ya kurudia home na akakataa kabisa kunipeleka home nilijuta sana kwa nini sikwenda na gari kwa kweli,sema kwa bahati nzuri bro wangu alikuwa kaenda tegeta nikampigia simu akirudi anipitie turudi wote nyumbani kwa kuwa sina nauli ,aisee alinicheka sana kwa kuwa kipindi natoka aliniona nazo pesa zote
Yote tisa kumi suala la yeye kuninyima penzi aisee linaniuma sana alikuwa ananionjesha mara chache chache sana tena sio bure bure mpaka nimpe hela
Baadaye nikawaza nikaona nimpigie simu nimwambie tuachane ila tubaki kuwa marafiki tu kama zamani cha ajabu alichonijibu kilinishangaza sana alinijibu ndio amekubali tuachane na akasema nifute namba yake kabisa na hataki kabisa hata urafiki na mimi
Mwanzoni nilijua anatania maana lugha aliyokuwa anatumia ilikuwa laini sana baadaye siku zilivyozidi kukatika ndo nikaamini alichokuwa anamaanisha
Yaani mpaka sasa sielewi kwa nini huyu msichana alikuwa hanipendi maana kwetu ni matajiri kama kwao na vitu vingi nilikuwa namnunulia kwa kifupi alinifanya kama baba yake ingawa mimi ni mwanafunzi wa chuo tena mwaka wa kwanza kama yeye
Sielewi kwa kweli yani ,naombeni ushauri wenu pia nataka madada wa humu waseme vitu gani wanampendea mwanaume maana sielewi kwa kweli yani
sasa kama ungekuwa wewe unge weza kumnyima?Dogo unajisifia sana. Unaongelea stori za kumuhonga demu laki tano ili tukuone wa kishua ama
We bado mtoto. You spend you last dime kumu impress mwanamke? Unatakiwa uwe na misimamo ya kiasi gani utaspenda kwao. Yaani unampa mpaka nauli yako ya kurudi nyumbani wewe utakuwa bado una mambo ya kitoto na unaishi na wazazi ndo maana upo very irresponsible. Hivi mmefunga shule au bado?😀😀 Ukiwa na akili za namna hiyo utakufa maskini. Inaonekana hata hao wazazi wako ni middle class tu sasa mbona unataka kuishi kitajiri wakati wewe si tajiri?sasa kama ungekuwa wewe unge weza kumnyima?
Mm mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanzaWe bado mtoto. You spend you last dime kumu impress mwanamke? Unatakiwa uwe na misimamo ya kiasi gani utaspenda kwao. Yaani unampa mpaka nauli yako ya kurudi nyumbani wewe utakuwa bado una mambo ya kitoto na unaishi na wazazi ndo maana upo very irresponsible. Hivi mmefunga shule au bado?😀😀 Ukiwa na akili za namna hiyo utakufa maskini. Inaonekana hata hao wazazi wako ni middle class tu sasa mbona unataka kuishi kitajiri wakati wewe si tajiri?
nilijua tu. You need to stop that nonsense..Jifunze kuwa bahili. Mademu wapo tu usiwaendekeze watakuchuna sana dogoMm mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza
af pia mm sio dogo kiasi hicho mkuu ,nimepiga kura mara mbili 2010 na 2015nilijua tu. You need to stop that nonsense..Jifunze kuwa bahili. Mademu wapo tu usiwaendekeze watakuchuna sana dogo
sasa mbona unafanya mambo ya kitoto sana? Kupiga kura mara mbili sio ishuuaf pia mm sio dogo kiasi hicho mkuu ,nimepiga kura mara mbili 2010 na 2015