Hivi kwanini mpenzi wangu hanipendi?

Hivi kwanini mpenzi wangu hanipendi?

Wandugu nimekuja hapa mnipe ushauri kidogo

Nilikuwaga na demu wangu she is so cute kwa kweli ila tatizo lake alikuwa ananipiga mizinga sana

Huyu demu nilikutana nae kipindi fulani alikuwa boy wake sema huyo boy wake alikuwa bahili sana yani hata vocha alikuwa hamtumii ,demu alimpenda mshikaji sema mshikaji alikuwa hana time nae kabisa

Baadaye demu akaamua aachie ngazi, mwanzoni tulikuwa washkaji sana na huyo demu sema baada ya kuachana na mtu wake akaamua anitamkie ananipenda mimi na angependa niwe mpenzi wake ,mm nikaona poa tu pia sikushangaa kunitongoza kwa kuwa mimi nina mwili uliojengeka kimazoezi pia nina sura yenye kuzuzua mademu so suala la kunitongoza sikuona la ajabu sana

Sema tatizo lilikuja kuanza pale nillipogundua huyu demu ni mtu wa mizinga sana pia ni muongo muongo sana na mbaya zaidi uongo wake anawashirikisha rafiki zake ili iwe rahisi kunidanganya

Huyu demu ilikuwa nikitoka nae nijipange haswa ,chini ya laki 3 lazima niaibike kabisa kwa kuwa kila kizuri atachokiona lazima atake nimnunulie nisipo fanya hivyo anakasirika na haongei na mimi wiki nzima akipiga simu lazima atake pesa

Pia alikuwa na tabia ya kuwalingishia wenzake kuhusu mimi ,ilikuwa nikimnunulia kitu cha gharama lazima akawatambie wenzake

Sitasahau siku moja nimetoka nae kwenda MCity kwa gari la kwao mfukoni nilikuwa na laki 5 ,unaambiwa siku hiyo laki 5 yote iliishia hapo hapo mcity mbaya zaidi sikuwa na nauli ya kurudia home na akakataa kabisa kunipeleka home nilijuta sana kwa nini sikwenda na gari kwa kweli,sema kwa bahati nzuri bro wangu alikuwa kaenda tegeta nikampigia simu akirudi anipitie turudi wote nyumbani kwa kuwa sina nauli ,aisee alinicheka sana kwa kuwa kipindi natoka aliniona nazo pesa zote

Yote tisa kumi suala la yeye kuninyima penzi aisee linaniuma sana alikuwa ananionjesha mara chache chache sana tena sio bure bure mpaka nimpe hela

Baadaye nikawaza nikaona nimpigie simu nimwambie tuachane ila tubaki kuwa marafiki tu kama zamani cha ajabu alichonijibu kilinishangaza sana alinijibu ndio amekubali tuachane na akasema nifute namba yake kabisa na hataki kabisa hata urafiki na mimi

Mwanzoni nilijua anatania maana lugha aliyokuwa anatumia ilikuwa laini sana baadaye siku zilivyozidi kukatika ndo nikaamini alichokuwa anamaanisha

Yaani mpaka sasa sielewi kwa nini huyu msichana alikuwa hanipendi maana kwetu ni matajiri kama kwao na vitu vingi nilikuwa namnunulia kwa kifupi alinifanya kama baba yake ingawa mimi ni mwanafunzi wa chuo tena mwaka wa kwanza kama yeye

Sielewi kwa kweli yani ,naombeni ushauri wenu pia nataka madada wa humu waseme vitu gani wanampendea mwanaume maana sielewi kwa kweli yani

Sasa ww una mwili uliojengeka,sura ya kuvutia watoto wakike then unaangaika kuomba ushauri mwanamke akupendi..wanawake wametapakaa namna hii au domo zege,,najua kinakuuma ela ulizopoteza kutoa huduma.kimcng huyo alikua muuza nyapu tu kama wanawake wengi mjini apa..jifanye kama uliinunua kwa gharama then maisha yasonge..

Wanaume wa Dar acheni kulia lia ovyo..
 
Yan hapa tena umeongea pumba mkuu, nan kakwmbia mtu anakupendea utajiri....

"""Yaani mpaka sasa sielewi kwa nini huyu msichana alikuwa hanipendi maana kwetu ni matajiri"""
Mm nimeona pumba eti kwetu matajiri na kwao matajiri!kha !huyu bad ni form six leaver asubiri a disco akisharudia mwaka ndio ataelewa mapenz n nn...mxiiieeeeuu zero brain
 
we ni wa kike bila shaka
 
uligundua kwa nini jamaa alikua hampi pesa?!! na unajua kwa nn alikuja kwako?!!
hakupendi alikimbia kusiko na pesa kakimbilia pesa lkn bado hajaridhika.
alikuja akukamue na mission complete,kalagabaho.
 
Naona unajibu kila comment unajibu. Jibu na hii. You seem very lumpen
 
Mwanamme hasifiwi Sura au mwili wa mazoezi Bali kazi....Ndio maana alikuwa anakupelekesha alishakuona ni ZWAZWA.
 
Why-women-reject-perfect-men.jpg
 
kuchunwa kuna raha yake eeh??? yaani huyo jamaa yake alivyokuwa anamchuna ulikuwa unashuhudia , cha ajabu na wewe ukaingia mkenge 😀
 
Samahani mkuu ila naomba nikuite mp.umbavu wa mwisho. Hivi mpaka mwanamke anakufanyia visa vya kijinga namna hiyo bado unahoji ? Wanawake wengine walilelewa kwa kuendekezwa na wazazi,kudekezwa na kupewa vitu au walikosa vitu fulani utotoni na wanajifidia kwa namna fulani. Hayo yote siyo jukumu lako kuyasahihisha, unapaswa kupiga mtu chini na kuachana nae bila kinyongo maana huko kunaitwa kuutua mzigo. Usipoona penzi, tafuta penzi kwingine unakoona linapatikana.
Ukiendekeza maswali ,utaua bila kukusudia.
 
Wandugu nimekuja hapa mnipe ushauri kidogo

Nilikuwaga na demu wangu she is so cute kwa kweli ila tatizo lake alikuwa ananipiga mizinga sana

Huyu demu nilikutana nae kipindi fulani alikuwa boy wake sema huyo boy wake alikuwa bahili sana yani hata vocha alikuwa hamtumii ,demu alimpenda mshikaji sema mshikaji alikuwa hana time nae kabisa

Baadaye demu akaamua aachie ngazi, mwanzoni tulikuwa washkaji sana na huyo demu sema baada ya kuachana na mtu wake akaamua anitamkie ananipenda mimi na angependa niwe mpenzi wake ,mm nikaona poa tu pia sikushangaa kunitongoza kwa kuwa mimi nina mwili uliojengeka kimazoezi pia nina sura yenye kuzuzua mademu so suala la kunitongoza sikuona la ajabu sana

Sema tatizo lilikuja kuanza pale nillipogundua huyu demu ni mtu wa mizinga sana pia ni muongo muongo sana na mbaya zaidi uongo wake anawashirikisha rafiki zake ili iwe rahisi kunidanganya

Huyu demu ilikuwa nikitoka nae nijipange haswa ,chini ya laki 3 lazima niaibike kabisa kwa kuwa kila kizuri atachokiona lazima atake nimnunulie nisipo fanya hivyo anakasirika na haongei na mimi wiki nzima akipiga simu lazima atake pesa

Pia alikuwa na tabia ya kuwalingishia wenzake kuhusu mimi ,ilikuwa nikimnunulia kitu cha gharama lazima akawatambie wenzake

Sitasahau siku moja nimetoka nae kwenda MCity kwa gari la kwao mfukoni nilikuwa na laki 5 ,unaambiwa siku hiyo laki 5 yote iliishia hapo hapo mcity mbaya zaidi sikuwa na nauli ya kurudia home na akakataa kabisa kunipeleka home nilijuta sana kwa nini sikwenda na gari kwa kweli,sema kwa bahati nzuri bro wangu alikuwa kaenda tegeta nikampigia simu akirudi anipitie turudi wote nyumbani kwa kuwa sina nauli ,aisee alinicheka sana kwa kuwa kipindi natoka aliniona nazo pesa zote

Yote tisa kumi suala la yeye kuninyima penzi aisee linaniuma sana alikuwa ananionjesha mara chache chache sana tena sio bure bure mpaka nimpe hela

Baadaye nikawaza nikaona nimpigie simu nimwambie tuachane ila tubaki kuwa marafiki tu kama zamani cha ajabu alichonijibu kilinishangaza sana alinijibu ndio amekubali tuachane na akasema nifute namba yake kabisa na hataki kabisa hata urafiki na mimi

Mwanzoni nilijua anatania maana lugha aliyokuwa anatumia ilikuwa laini sana baadaye siku zilivyozidi kukatika ndo nikaamini alichokuwa anamaanisha

Yaani mpaka sasa sielewi kwa nini huyu msichana alikuwa hanipendi maana kwetu ni matajiri kama kwao na vitu vingi nilikuwa namnunulia kwa kifupi alinifanya kama baba yake ingawa mimi ni mwanafunzi wa chuo tena mwaka wa kwanza kama yeye

Sielewi kwa kweli yani ,naombeni ushauri wenu pia nataka madada wa humu waseme vitu gani wanampendea mwanaume maana sielewi kwa kweli yani
Mkuu hizo pesa..ungenikopesha niongezee mtaji kwenye biashara yangu,ningekulipa kwa riba
 
Samahani mkuu ila naomba nikuite mp.umbavu wa mwisho. Hivi mpaka mwanamke anakufanyia visa vya kijinga namna hiyo bado unahoji ? Wanawake wengine walilelewa kwa kuendekezwa na wazazi,kudekezwa na kupewa vitu au walikosa vitu fulani utotoni na wanajifidia kwa namna fulani. Hayo yote siyo jukumu lako kuyasahihisha, unapaswa kupiga mtu chini na kuachana nae bila kinyongo maana huko kunaitwa kuutua mzigo. Usipoona penzi, tafuta penzi kwingine unakoona linapatikana.
Ukiendekeza maswali ,utaua bila kukusudia.
Ok
 
kwenu ni matajiri kama kwao basi huyo binti anataka masikini amyooshe. wewe tafuta maskini mtaendana
 
Siumesema sura yako inawazuzua sana mademu? Iambie imzuzue na huyo basi.
 
.......... aseeh nimesema nisipite bila kutia uzi baraka
 
Back
Top Bottom