Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,602
Mmmh sina cha kusema ila tu jifunze kutembelea hata muhimbili/mwananyamara hospital angalau mara moja kwa mwezi ili uwasaidie chakula wale wagonjwa wasiojiweza UTABARIKIWA KUMPATA MKE MWEMA. Nafikiri niishie hapo kwa leo maana sina cha kusema.