Uchaguzi 2020 Hivi kwanini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni

Hivi kwa nini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni.

Yaani huo umati unaouona kwenye kampeni kama wote wangekuwa wanaenda kupiga kura vituo vya kura vingezidiwa.

Lakini hakuna ukienda vituoni unashangaa kukuta wengi ni watu wazima na vituo vingine unakuta saa sita tu mchana hamna watu wameshaisha.

Hiyo mikutano ya kampeni huwa wanafuata nini wakati Siku ya kupiga kura hawaendi.
Uko kwwnye Mahangaiko ya moyo, pole sana tarh. 28 Utajua hujui
 
Hiyo mikutano ya kampeni huwa wanafuata nini wakati Siku ya kupiga kura hawaendi
wanaenda kutazama show ya zuchu, diamond na kondeboy halafu show ikiisha wanasepa zao hawaendi kumpigia kura yule mwizi anaeshobokea wake za watu wenye rangi nyeupe
 
Hivi kwa nini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni.

Yaani huo umati unaouona kwenye kampeni kama wote wangekuwa wanaenda kupiga kura vituo vya kura vingezidiwa.

Lakini hakuna ukienda vituoni unashangaa kukuta wengi ni watu wazima na vituo vingine unakuta saa sita tu mchana hamna watu wameshaisha.

Hiyo mikutano ya kampeni huwa wanafuata nini wakati Siku ya kupiga kura hawaendi.
Wanafuata posho au ubwabwa wa mzee Rungwe
 
Asilimia 70 ya waliojiandikisha kupiga kura ni vijana. Tanzania ina vijana wengi kuliko wazee.
Majira yamebadilika sana, CCM haiwezi kupata kura za kuizidi CHADEMA, huo ndio ukweli.
CCM ya Magufuli haishindi Uchaguzi huu.
 
Hivi kwa nini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni.

Yaani huo umati unaouona kwenye kampeni kama wote wangekuwa wanaenda kupiga kura vituo vya kura vingezidiwa.

Lakini hakuna ukienda vituoni unashangaa kukuta wengi ni watu wazima na vituo vingine unakuta saa sita tu mchana hamna watu wameshaisha.

Hiyo mikutano ya kampeni huwa wanafuata nini wakati Siku ya kupiga kura hawaendi.
Uligundua pia kuwa idadi yao kubwa ni vijana wa kiume kuliko wa kike? Taifa letu lina vijana wa kike wengi zaidi ya wanaume lakini ni wachache mno wanaojitokeza katika mikutano. Nahisi kuna kitu vijana wa kiume wanakifuata katika mikutano na inaonyesha wengi wanakwenda katika kila mkutano wa chama chochote kile.
 
Hivi kwa nini mikutano ya kampeni watu hufurika mno hasa vijana lakini ukienda vituo vya kupiga kura huwaoni.

Yaani huo umati unaouona kwenye kampeni kama wote wangekuwa wanaenda kupiga kura vituo vya kura vingezidiwa.

Lakini hakuna ukienda vituoni unashangaa kukuta wengi ni watu wazima na vituo vingine unakuta saa sita tu mchana hamna watu wameshaisha.

Hiyo mikutano ya kampeni huwa wanafuata nini wakati Siku ya kupiga kura hawaendi.
#Vijanakufurika mikutano kampeni lakini kwenye kura hawaonekani: Sababu kuu ni kwamba wengi hawana hivyo vitambulisho vya kura na muda hawana kuvitafuta labda mpaka apate shida ya kwenda polisi kwa ajili ya udhamini huyo ndio utamkuta anacho. Kwa utaratibu jinsi ulivyo kwa sasa mtu akitumia majina bandia anajulikana kirahisi hivyo kuishia kwenye mikono ya sheria. Wengi wanashawishiwa kusemewa mambo yenye kadhia kadhaa ambazo zilishawahi kuwakumba na kuathiri mfumo wa maisha hivyo kuhisi mamlaka fulani ndio iliyosababisha wawe kwenye hali hiyo hivyo kupewa matumaini ya kuwa na maisha mazuri kupitia ushawishi huo. Vijana wengi ambao hawana ajira na hawakupata vitambulisho vya machinga na kupoteza kufanya biashara kwa uhuru popote na kupata maendeleo hivyo kukosa vyanzo halali vya mapato hawaoni umuhimu wa kwenda kupiga kura. Kuletewa mtu wa kuchagua ambaye hakuwa chaguo lao bila kuzingatia kama ana uadilifu wa kutosha kwa manufaa ya Taifa.
 
Kuna maelfu na na maelfu ya vituo vya kupigia kura. Wewe umeenda kituo kimoja huko uswahilini kwenu, then unakuja na hukumu? Shur up!
 
Kuhudhuria mkutano wa kampeni kiingilio ni miguu yako tu wakati katika upigaji kura kiingilio ni kitambulisho chako ambavyo wengi hawana na wenye navyo hawaja boresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga kura
 
Na kwanini wakati wa Kampeni Polisi huwa wala hawaonekani kwa uwingi wao ila Siku ya Uchaguzi na katika Ngome za Wapinzani huwa ni wengi?
Falsafa yako ni ngumu hivi ni popo au ndege?

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom