RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,877
- 5,446
Kwa Wale Tuliotumiaga Mig33 kipindi cha Nyuma Na Simu zetu za Nokia .. Whatsapp Yetu kubwa Ilikuwaga Ni Mig33 na Group maarufu Nililokuwa naingia Lilikuwa Tigo Tanzania...
Mig33 ilikuwa na utamu wake maana Ilikuwa Haina Limit Unachat Na Waindonesia mna Date Mnamwagana hata Hamjuani Kabisa..
Na Mchezo Niliokuwa naufanya Ni Kumpiga Mtu Kick awe na Kosa Au Laaah. Kwa hiyo nilikuwa naenda internet Cafeé Nafanya Multiple User ID namkick mtu tu kama Nacheza Game.
Kwa Wale Waliotumia, hivi Why Haikuwa Whatsapp au WhatsApp ndo Walicopy Idea Ya Hawa Jamaa?