Hivi kwanini mchokane?

Ndiyo hiyo Mkuu kama inavyoitwa na mabeberuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚inawavuruga wapendanao wengi sana.

Hio si ile wanaita Ego, kila mtu akitaka kuwa juu hamsogei. At times mmoja lazma awe chini🀣
 
Ndiyo hiyo Mkuu kama inavyoitwa na mabeberuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚inawavuruga wapendanao wengi sana.
Hahahah aisee mahusiano ili yawe na balance lazma mmoja awe na calibre ya ku neutralize
 
aina hii kusema kweli wanayo akina dada na wanawake huwa wanakosea sema wao wanakungoja uongee tuu neni moja litakalopita kushoto anakazia hapo anakumbushia na vitu vilivyopita mwishoni anaingizia kosa lake linageuzwa linakuwa kosa lako kwanini umesema alafu mwisho mwanaume unaomba msamaha akiona unakaza sana anakimbilia tuachane anakutesea hapo weee mpaka wewe ndio uombe msamaha na usiombe awe na company ya kumshauri ndugu hamna maneno utakayoacha kuambiwa anyway nilikuwa napita tuu wananzengo
 
Mkuu Fanya kutuma na kwangu nilipoteza hard-copy yangu nikatafuta online sikupata ukinitumia nitashukuru mnoo

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
mahaba ni sanaa.....msipojua namna ya ku-update love situation yenu imekula kwenu
 
Mkuu mm sijawahig kuyazoea hayo ma pet names ..kuita au kuitwa..Pili huwa si postig mke wangu toka tunajuana.
Actually tunaishi maisha flan loca hiv ila tunaepuka ving sanaa in my opinion.
Kwanza inasaidia hata watu wasiwe na habar na mambo yenu so hata wale wangu waombea watu mabaya mnakua mmewapunguzia kaz ya kutwa kucha kuwawangia muachane
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…