Hivi kwanini mchokane?


Daah bro kweli ulikuwa unamuelewa kwelikweli ja rule 🙌
 
Kwahiyo wewe ukiwa na mwanamke haumuonyeshi mapenzi wala kumjali?
Ilikuwa zaman...!!i used to be that romantic guy!!....lkn kila bnadam ana njia 1 ya kumpa funzo kuu maishan mwake...bahati mbaya mimi nlipewa funzo la kutojali mwanamke...hasa hisia...!!

So naendelea kulisukuma gurudum mpk hapo ntakpohic nipo tyr...!!
 
Kwahiyo wewe unaamini kwamba wanawake wote duniani tabia zao zinafanana? Na unashauri na wanawake nao wakiumizwa na mwanaume mmoja tu wasipende tena waanze kuwa wakatili na wasijali hisia za wanaume watakaokuwa nao?
 
Unamaanisha hata mwanaume ambaye ni mzinzi na myanyanyasaji naye afanyiwe hayo?
kama umekosea kuolewa na ukaolewa na mnyanyasaji inabid tu ufanye ivoivo no way..ni chaguo lako..hasa sisi christian ndoa ni moja tuu.
 
Kwahiyo wewe unaamini kwamba wanawake wote duniani tabia zao zinafanana? Na unashauri na wanawake nao wakiumizwa na mwanaume mmoja tu wasipende tena waanze kuwa wakatili na wasijali hisia za wanaume watakaokuwa nao?
Nop...naamin kuwa wanawake wote mitazamo inafanana...!!

Cmpangii mtu kufanya maamuzi ila ni juu yao

Ila kwa sasa naamin kama mtu akiweka pemben mapenzi kwa mda ht miaka miwil akajikita kwenye ktafta hela

Hatataman kuwa kweny mahusiano
 
Nop...naamin kuwa wanawake wote mitazamo inafanana...!!

Cmpangii mtu kufanya maamuzi ila ni juu yao

Ila kwa sasa naamin kama mtu akiweka pemben mapenzi kwa mda ht miaka miwil akajikita kwenye ktafta hela

Hatataman kuwa kweny mahusiano
Sawa
 
Ukifanya Wrong choice ni bora ujivue gamba mkuu haina aja mpasuane kichwa maisha yenyewe mafupi
 
duh hio ndoa ilikuwa ya kukata na shoka
Na honeymoon ilikuwa south Africa,inshort nikwamba binti alikuwa nikutoka familia ambayo ilikuwa na urafiki na yetu ,Sasa tulihusika kwa asilimia
duh hio ndoa ilikuwa ya kukata na shoka
Inshort binti alipendana na mfanyabiashara yeye akiwa Mwalimu katika shule moja jijini,mapenzi yao yalikuwa ya new Africa hotel,kempisk,na maeneo mengine ya expensive cos jamaa alikuwa bepari kweli kweli (In magu's voice). Katika maisha hayo yaliendelea mpaka ndoa ambayo ilifana sana pale New Africa hotel,huku jamaa akimzawadia mkewe prado mpya,wafanyabiashara wenzake walikuwa wanashindana kutoa Pesa, maana kamati tu ilikabidhi karibia million 120,huku Sisi wenye nauli tu mfukoni tukiendelea kushangaa ukizingatia tulienda kama familia rafiki na binti,Mbwembwe zilikuwa nyingi sana (Pesa ya JK enzi zile za neema)

Baada ya honeymoon,mume akawa anamshawishi mkewe aache kazi asimamie miradi baada ya kuomba ushauri akaambiwa atulie kwanza asifanye maamuzi haraka,kadri siku zilivyozidi kumbe mshikaji kwenye nyumba yake ambayo ni hekalu mbezi beach kuna vyumba vina misukule ambayo mke inabidi ahudumie sasa hapo ndiyo Ndoa ikaanza kuyumba baada ya binti kuona misukule ambayo inatakiwa akabidhiwe.

Mengi yalitokea ila binti alirudi home directly,vikao vilikaa hadi level ya askofu ila haikuwa solved,ikaishia hapo ndoa.

Binti baada ya miaka minne akafunga Ndoa ambayo ana watoto wanne sasa,bahati nzuri yule bepari inasemekana alikuwa hajalenga vizuri japo kwa taarifa za kiintelligensia inasemekana alitoa ujauzito wa miezi kadhaa.

Kufahamiana muhimu,jua mwenzio anafanya nn na wapi,analala wapi na mazingira gani, ni muhimu sana
 
😅😅😅 waache wale wanaotuona wapuuzi tukisema ni muhimu kuishi pamoja kipindi cha uchumba waendelee na misimamo yao.

Unajua maisha ya mtu hasa mwenye mafanikio yana siri kubwa sana. Hapo binti alijua kaukata kashayatoa maisha kumbe ndani kwa ndani angekuwa anateketea.
 
Wakati mwingine ni makosa madogo sana na mtu kujiona yeye ndiyo yeye japo kakosa lakini hataki kukubali kosa lake na kusema I am sorry. Mawasiliano hupungua taratibu na mwisho hukata kabisa huku kila mmoja wao akimmiss mwenzie sana. Mara PUFF! ndo imetoka.

 
Hio si ile wanaita Ego, kila mtu akitaka kuwa juu hamsogei. At times mmoja lazma awe chini🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…