Hivi kwanini mchokane?

nashukuru Mungu now najua matumizi ya
ikiwaka yeyote kati ya izo najua kipi natakiwa nifanye
Hahahahah aisee, hatari sana mzee baba ukijimix tu lazma uje umwage mashairi jfπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† tunaishi ka digidigi.
 
Damn...tuachege tamaa basi. Ila mbona mie huwa siwezagi kumwambia mtu nampenda kama simaanish masta. Yani ukiona nimekwambia maneno yote bila hilo ujue thats a gameplay.
You are like me. am always open kama ni papuchi nataka nitakuwa straight forward.
Mwaka jana nilifanya tukio moja ambalo juzi nimewasimulia washikaji hawakuamini nilicho waambia.
 
Siku hizi neno "pingu za maisha" limekua adimu sana, maana linatisha.
Its easy to run away from problems than facing them.
 
Siku hizi neno "pingu za maisha" limekua adimu sana, maana linatisha.
Its easy to run away from problems than facing them.
hahahah hakika ila its childish thinking, ukiwa mtu mzima mwenye busara huwezi fanya huo uzembe
 
mwanamke yeyote hatakiwi kuongelewa negative words wakuu yaani unagombana na msichana wako unamwambia wewe ni kahaba wewe hauna heshima wewe hunipendi huwa hawa wanawake hawachakachui neno yaani wao wanaliweka hivyohivyo zima sasa sio kwamba yeye hajawahi kukwambia hayo maneno hapana ila wao wanatunza mambo ndio ubongo wao ulivyo usiombe akaenda kazini akakutana na kijana au mtu mwingine anamwambia wewe ni mrembo una sauti nzuri umependeza na mumewe hajamwambia nyumbani unategemea nini hapo ukikasirika tunza maneno wakubwa hata kama anaenda kazini mbusu mwambie umependeza wewe ni mzuri maana ukiacha tuu atakutana na mwingine huko atayasema akirudi kwako hata humwambii neno lolote hata kucha zako nzuri aisee wazee,kwahiyo wazee yaani ukigombana na mkeo au mchumba wako maneno machafu yahifadhi
 
You have a point bro
 
Mimi nilikimbiwa kisa pesa, kanikimbia kamfuata jamaa kisa ana kazi nzuri, pesa na magari.
 
sure
 
Mimi nilikimbiwa kisa pesa, kanikimbia kamfuata jamaa kisa ana kazi nzuri, pesa na magari.
Hahahaaa pole ndugu....wengne tulikimbiwa punde tu magu alipozuia ajira...!!ila namshukuru...alinipa hasira ya kutafta pesa...mpk sasa safari bado lkn nmepiga hatua co kama zaman
 
Duh eti kaz znabana so hamna mda wa kua deep na wapenzi wenu...nani anataka kubanwa kila saa?... sisi tunataka hata kama una mambo mengi basi onyesha nia ya kutaka kua karbu nae ila umeshindwa.

alafu kingine ni mazoea mabaya..ubunifu unatakiwa jaman hapa wengi ndo mnafeli.

kingine wanaume wanataka vtu 3 tuu vikubwa kwanza wanataka mwanamke sex wanaume wote wooote wanapenda sex woman umvutie haswa..cha pili heshima nature ya mwanaume ni uongoz hata awe hana ela we mpe heshma yake mpe na pesa pia kama hana ila asijue mtu wala watoto kua unampa kidogo itampa raha mana wakikosa pesa wanaumwa hawa wanaume wetu...cha mwisho sex wanaume wote sex ni chakula chao cha pili ukiacha msosi wa tumboni so apewe papuchi kila atapohitaji. Kutunza ndoa ni rahisi sana..mwanume ananyenyekewa kwa upole.
 
Unamaanisha hata mwanaume ambaye ni mzinzi na myanyanyasaji naye afanyiwe hayo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…