Hivi kwanini mchokane?

ukiona hivyo ujue hukumpenda
 
Unapozungumzia mapenzi unazungumzia upendo pia..

Panaweza pakawa na mapenzi ila pasiwe na upendo, ndo mwanzo wa kuchokana huko. Na kuchokana huja kwa kuzoeana kulikopitiliza halafu panakuwa hakuna upendo!

Kabla ya kuanza safari ya mapenzi hakikisha ulonaye unampenda kutoka moyoni na sio machoni.
 
Shida kwenye mahusiano mengi zinaanza kwa kua na tafsiri tofauti kwenye jambo moja


Mfano yeye (mwanamke) Ana tabia flani flani ambazo kwake yeye anaona ni sawa kwa yeye kua nazo ila kwako wewe (mwanaume) unaona kabisa hizi tabia sio sawa Sasa hapo ndo mtiti unaanza (ugomvi)


Maswala ya tabia zake mbaya nayo ni vile vile
Mfano yeye anatabia flani ambazo kwake anaona ni sawa ila kwa upandd wako unaona hizi tabia sio sawa akiendelea tu na hizo tabia ugomvi tayari



MAPENDEKEZO (suggested solutions)

Vijana acha kukurupuka kuchukua tu mwanamke umekutana naye bar au club eti unataka awe mke na mlee watoto (ukibisha we chukua ila uwe tayari kulipa gharama ya maamuzi yako dhaifu ambayo ni mfano wa issue zinazo tokea Kama ilivyo letwa na muanzusha uzi )


Kwa kifupi tafuta mwanamke ambae tabia zenu kwa kiasi kikubwa mnaendana ili kuepusha baadhi ya magomvi ambayo yanaweza yasiwe ya lazima Sana


Mwisho kabisa kuchukuliana katika mapungufu yetu huwezi kupata mwanamke/mwanaume aliye perfect hayupo hata m1 Kama upo kwenye mahusiano hasa hasa ndoa mchukulie huyo mpenzi wako katika mapungufu yake JARIBU KUVUMILIA NDO WAKO HUYO


KAMA HAIWEZEKANI KABISA KABISA YAANI KABISA
kuliko Vita Bora ukamwambia tu yatosha Sasa yatosha na kila mtu ashike njia yake
 
Hiyo imekaa poa sana hata kwa mtazamo wangu ningeweza sema hilo hilo, chanzo cha kuchokana ni mmojawapo kuwa na tabia ambazo hazivumiliki kwa ustawi wa mahusiano, mfano Ke kuwa na kiburi na ujuaji huku akijiona yupo na haki ya kukupandishia anavyotaka na ukimsema ni mtata hataki kukubali kuwa anakukwaza. Vile vile kwa mwanamke huenda ni kidume kutokuwa na tabia ya kujali hisia zake na kutaka kumburuza tu huku ukimsaliti hili nalo ni tatizo.

Remedy ni kujaribu kuzungumza na kufafta suluhu ya matatizo yenu kama watu wazima ila sasa unakuta mmoja ni mjeuri hio hali inasababisha muwe hamfikii muafaka ila mtu unaamua kukatisha malumbano tu kisha unasaka amani yako pengine ndio usaliti unatokea.
 
Reactions: a45
Mkuu Leloo June 50 cent ni Qooma,,,he destroyed Ja Rules Career akishirikiana na Slim Shady, i hate those 2 muhfukas for that. Ja was on the peak by the time 50 alitaka kutoka na hakuwa na njia ya ku hit mainstream akaanza ku diss style ya muhuni kuwa was wack na kwamba alikuwa ana impersonate uhuni esp image ya Tupac. Too bad alirudi na kuitumia yeye hio style during his music career kmalammke 50.

Irv Gotti wa Murder Inc ndio alikuwa talk of the time na ndio aliproduce na ku Dj ngoma za Ja Rule. Inshort ni wivu tu wa wasanii wenzake ndio ulipelekea kuua career yake maana Ja Rule alikuwa mbishi ikapelekea shootings za raia kadhaa jamaa wakaanza kumpa na makesi akawa anakula ban za kurecord na show na kuna kipindi flani Ja Rule alifungwa ila i still respect that Nigga for the Talent he has.

To date bado 50 Cent anastalk moves za Ja Rule na Irv Gotti kwa kila wanachojaribu kufanya ili wapige hela. That muthafuquer is tailing on 'em niggas like a damn bug, sasa sijui anapata faida gani na Rule alishaamua kuachana na beef isio na maana. He left it in the past na hana mpango wa kuwa na urafiki na 50 cent. Kila mtu na njaro zake ila 50 can't resist revealing his pussy attitude everytime he sees Ja doing something big. I hate that stupid envious muthafuka till i fuckin die ma nigga, wish i had a chance to kill that wack niggas ass, those 9 shots weren't enough foe that mean mug gay ass muthafukker mane😡😡😡.

He once fucked up with Terror Squad, and he got his ass on heat...Acting like he can't get touched!!! Joe Crack alimaliza kwa diss track moja tu fuckk 50!!!
 
1:Tamaa ya pesa(wanawake)
2:Usaliti (Wote)
3:Kujiona bora zaidi (wote)
 
Amazing
.
Boss uko vizuri Sana
 
Vijana wa siku hizi hawana discipline katika mambo yao. Mtu mwenye discipline automatically anakua mvumilivu.
Discpline huwa inahitajika sana, uvumilivu ni mwiba mchungu sana kwa wengi. Mtu yupo radhi kuacha uhusiano wa miaka 10 kisa mwenza amekatishwa kibarua na hana tena chanzo cha kipato badala ya kutafakari wanawezaje kujipanga kukabiliana na hali hiyo. Anatafutwa mwenye hela 😂😂😂
 
Halafu mbona inaonyesha hata JF ulijiunga kwenye birthday yake akiwa anatimiza miaka 40? Ulipanga nini mkuu?
Hahahah halafu ndio unaniambia hilo leo hata sikuwahi kujua, nahisi ilitokea tu kama Coincidence, he flashes a lot of memories in my mind huyo mwamba cant stop listening to his hits.
 
Bifu hizi huwa zinampa faida gani 50, coz huwa anatusi saana ma black wenzake..hana rafiki jamaa .hata loyd bank mwana G unit mwenzake ashamkimbia
 
Hadi joe alipotezwa sio ja rule tu...
Vp ile show ya ja rule ilifanyika Ambayo 50 alihaidi kununua tiketi 200
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…