okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,631
Hello,
Ukiangalia forbes list ya richest people in Tanzania, yani mwafrika yuko mmoja tu (Reginald Mengi), kama sio wawili (ukiongeza Ali Mufuruki). Tena Mufuruki hela zake za mashaka mashaka.
Hata ukiangalia Tanzania millionaires you should know, forbes ilitaja top 10 yoote ni wahindi/waarabu kuanzia mmiliki wa lake oil, hivi hawa wahindi benki zetu pamoja na sisi tunawapendelea sana, waafrika tunalogana wenyewe, au wametuzidi tu tekniki za biashara, coz mwafrika huwez kwenda india, or china utajirikie kule..ni vigumu sana.
So mm naona probably the richest, black person in east and central africa ni reginald mengi tu, hivi vitajiri vingine vya kiafrika vinakokota vumbi.
Hawa wahindi wana technic gani?? au wanatuibia hapa hapa tukiwa tunajiona, u cant make millions of dollars easily kwenye nchi ambayo mmmh lazma ukwepe kodi, uibe etc..heb jaman nipen ufafanuz