Hivi kwanini kama soko jipya likijengwa unakuta soko la zamani kuungua?

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Hili jambo linaniweka njia panda sana kuhusu hili jambo.

Mfano unakuta kumeandaliwa soko jipya alafu watu wakagoma au kutokwenda soko jipya lazima utasikia soko la zamani limeungua.
Hii si mara moja na si wageni kusikia.

Na hili ndio linanifikirisha hata hili.

IMG_7713.jpg
 
Kwahiyo lipi ambalo jipya lime replace Hilo la kkoo...
Mkuu nakuhakikishia hakuna soko litakalokuja kuwa la kipekee Kama la kariakoo kihistoria....hamna namna lazima tu lijengwe upya hapohapo
 
Hilo jambo lako ni la kitoto sana. KARIAKOO HAIWEZI KUUNGUZWA ETI KISA MMEJENGA SOKO JIPYA. Kisutu siyo mpya na wala machinga complex siyo mpya. AU WAPI MMEJENGA SOKO JIPYA?
 
Back
Top Bottom