Bonheur Travels Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 252
- 499
Ila wanaosoma vitabu wanajionaga wameyapatia kinoma maisha..
Halafu wengi ni choka mbaya, watu wa fantasies. Yaan nitoke kibaruan nmechoka nisilale nisome kitabu? Vitabu nilivyosoma toka darasa la kwanza mpaka namaliza chuo kikuu miaka mi4 vinatosha sana kwa maarifa.Ila wanaosoma vitabu wanajionaga wameyapatia kinoma maisha..
Swala ni kwamba unasoma vitabu, iwe in online au hardcopy.Kwanini ninunue wakati online unaweza kuvipata bure?
Halaf wengi ni choka mbaya, watu wa fantasies. Yaan nitoke kibaruan nmechoka nisilale nisome kitabu? Vitabu nilivyosoma toka darasa la kwanza mpaka namaliza chuo kikuu miaka mi4 vinatosha sana kwa maarifa.
Swali limeuliza "Kwanini sinunui na kusoma vitabu?"Swala ni kwamba unasoma vitabu, iwe in online au hardcopy.
Kama sababu ni kuchoka na kazi, vipi kujisomea kwa siku za mapumziko?Halaf wengi ni choka mbaya, watu wa fantasies. Yaan nitoke kibaruan nmechoka nisilale nisome kitabu. Vitabu nilivyosoma toka darasa la kwanza mpaka namaliza chuo kikuu miaka mi4 vinatosha sana kwa maarifa.
Kwanini ninunue wakati online unaweza kuvipata bure?
Minaingiwaga uvivu nashindwa kuvimaliza
Issue ni kusoma vitabu au ni lazima tuvinunue kwanza hivyo vitabu? Mpangilio wa maneno katika kichwa cha uzi wako unaonesha msisitizo ni kununua (biashara) na si kusoma.
Hukukuzwa hivyo. Sababu nzuri na ina mashiko.Binafsi sikukuzwa hivyo ndio maana nashindwa kusoma, ila kununua nanunua kimtindo, huku nilipo boss wangu anasoma sana vitabu, amenishawishi nisome nikamwambia anilipe kwa kila kitabu ntakachosoma akaniona hamnazo.
Kusoma vitabu kwangu sio desturi wala sina mazoea japo nina softcopy ya baadhi ya vitabu.
Mpaka siku hiyo niwe na vibe la kusoma ndio utaniona nimetulia, na mara nyingi huwa sisomi kwa muda mrefu unakuta dakika kadhaa tu nishakua bored naacha
Sijawahi soma kitabu mwanzo mpaka mwisho nikakimaliza
- Sawa, mimi ni msomaji na mnunuziKama tulivyoeleza, tulianza na kununua ili kupima commitment. Mtu anayesoma vitabu huwa ananunua pia japo sio mara zote.
Bado swali la kusoma ni halali; wewe ni msomaji wa vitabu?