Umalaya tu Mkuu watu aina yako ni ngumu sana Kuoa. Ukishaona unamdharau mwanamke kisa umemvua Kyupi Jitahidi sana kubadilisha huo mtazamo sio jambo jema wala sio Utu.

baadhi ya wanaume huona “kumvua nguo” mwanamke ni kama kama ushindi. Baada ya ushindi, interest inapungua. Ni psychology ya chase. Kikubwa ni Kujua tu kumvua kyupi sio ushindi wala sio ujanja ni Hisia na upendo tu mkuu

Ni kawaida tu mjuba, tena ukishamla unamdharau kabisa na kuanza kujisemea kwa nini umemla. Thamani yake inashuka hata kama ni pisi kali unaanza kuona ana kasoro nyingi