Hivi kwanini cheo cha DC na DED vimeshuka thamani?

Hivi kwanini cheo cha DC na DED vimeshuka thamani?

Somalia au Tanzania?




Kama Tanzania wakikupatia unakataa?
 
Uenda hawatimizi majukumu Yao ipasavyo na hiyo hadi watumishi wa Chini Yao kuwaona ni wa kawaida kuhakikisha hilo hata madudu ya ofisini hadi aende kiongozi wa kitaifa ndiyo apewe data na wenye kazi ya kuzikusanya ikiwa files zote zipo hapo ofisini. Mifumo haiko Sawa amini ukiwa unawajibika hakuna hata mmoja atakuletea dharau kamwe, sasa hapo kila dili na wao wapo unazani heshima inatoka wapi. mamlaka ya uteuzi iwe makini katika kuweka watu Sahihi.
 
habari za mchana,

Kichwa cha habari cha jieleza hapo juu, hivi kwanini vyeo hivi vimekuwa vya kawaida sanaa tofauti na zamani?

Zamani watu wenye vyao hivi walikuwa watu wanaoheshimika sanaa katika jamii, yaani DC akitoa order si kwa watumishi au wananchi lazima ifuatwe mara moja lakini siku hizi ni kinyume chake.

Leo nilikuwa nafuatilia kikao cha Waziri Mkuu huku Tandahamba, yanii DC anatoa maelekezo hakuna anaejali; si DED wala watumishi wa chini yake hadi Waziri Mkuu akalikeme hilo.

Pia kuna mahala nimeona wananchi kwenye mkutano wanampa maneno ya kashfa DED kiongozi hadi RC wake akaamua kuingilia kati ndo wananchi wakatulia, tatizo nini? Matukio ni mengi sanaa hiyo ni michache tu.

Mifumo imechoka au haifanyi kazi kabisa.

NJOO TUJADILI.

cheo cha Ded kiliharibiwa pale chama kilipoamua kuwageuza hawa kuwa makatibu wenezi wa chama.Unajua DED siyo mtu mdogo,anasimamia maendeleo ya wilaya kitalaamu.Ila hawa madeni sorry ma-DED wote walipata teuzi baada ya kugombea nafasi za ubunge na kura kutotosha.hawana uzoefu ni system za halmashauri.zamani Maded walilikuwa wanapandishwa kutoka nafasi labda za maafisa mipango wa halamashauri walio iva kabisa.wanaojua kuoperate system za halmashauri. sasa wamejikuta wengi wao wakipata udedi wanaendelea na azma yao kutaka kugombea msimu ujao
 
Heshima siku zote hutegemea matendo yako.

Hawa maDC, maRC na maDED wa sasa, hawaonekani kuwa ni viongozi wa wananchi, ni viongozi wa chama. Hivyo heshima yao ipo huko CCM, tena kule wapo chini ya Mwenyekiti wa CCM.

Wakati wa uchaguzi, Mwenyekiti wa CCM ndiye huwapa maelekezo ya kuhakikisha mgombea wa CCM anatangazwa hata kama hakushinda.

Mwizi au mtu anayesimamia kuhakikisha wizi unatendeka bila bugdha, ni wapi aliwahi kuwa na heshima?
 
Matatizo yote haya yalianza na Kikwete bafaye Magufuli ndio akaharibu kabisa,sasa Mtumishi gani wa Serikali mwenye akili timamu asome for 12 years afu aje aongozwe na MTU kama Jokate-slay Queen.

U-DED na DC ulikuwa imara kipindi cha Mkapa na Kikwete kidogo.
 
Sasa unakuta kajitu kahuni kanakovuta bangi kanapewa uDC unatarajia atakuwa na busara gani ya kuweza kusikilizwa. Sitoshangaa siku mtu kama Adam Mchomvu akapewa uDC, hapo unatarajia nini zaidi ya mahoka tu.

Kajitu kakipewa madaraka kanatongoza kila mwanamke. Sasa unatarajia kama keshalala na subordinates wake wote atakuwa na kauli tena? Maana wote wanamuona kama hawara yao tu.

Mtu anaepaswa kuwa kiongozi wa wilaya nzima anakuwa mlevi mbwa mpaka kuanguka mabaa, nani anaweza mtilia maanani mtu kama huyo.

Mkuu wa wilaya anaenda kupiga makofi wanafunzi tena wa kike sasa mtu kama huyo unatarajia anaweza chukuliwa serious.

Kuna haja mamlaka ya uongozi warejee vetting system yao na pia waache kutunuku vyao kama zawadi kwa kila mpuuzi tu.
 
Aina ya wateule imechangia 60%, na aina ya mtawala nayo imechangia 40%

Imagine unateua watu wasio na uzoefu wa uongozi kama wasanii wa Bongo Fleva, ma miss wastaafu, Wasanii wa Bongo Muvi, waandishi njaa wa habari, uvccm, waganga wa kienyeji, watoto/ndugu/marafiki/shemeji/vimada/wakwe/ wa watawala, wahudumu wa bar, wachawi, chawa, kunguni, na kila aina ya takataka! Kisa tu ni makada wa chama tawala.

Halafu wale wakuu wa idara wenye uzoefu kazini, wanawekwa pembeni!
Heshima itatoka wapi?

Binafsi naona Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, ndiyo mwarobaini wa huu upuuzi.
 
habari za mchana,

Kichwa cha habari cha jieleza hapo juu, hivi kwanini vyeo hivi vimekuwa vya kawaida sanaa tofauti na zamani?

Zamani watu wenye vyao hivi walikuwa watu wanaoheshimika sanaa katika jamii, yaani DC akitoa order si kwa watumishi au wananchi lazima ifuatwe mara moja lakini siku hizi ni kinyume chake.

Leo nilikuwa nafuatilia kikao cha Waziri Mkuu huku Tandahamba, yanii DC anatoa maelekezo hakuna anaejali; si DED wala watumishi wa chini yake hadi Waziri Mkuu akalikeme hilo.

Pia kuna mahala nimeona wananchi kwenye mkutano wanampa maneno ya kashfa DED kiongozi hadi RC wake akaamua kuingilia kati ndo wananchi wakatulia, tatizo nini? Matukio ni mengi sanaa hiyo ni michache tu.

Mifumo imechoka au haifanyi kazi kabisa.

NJOO TUJADILI.
kinachowaponza ni upumbavu wao wa kudhurumu wapinzan walioshinda na kutangaza kwa nguvu watu wa ccm na bado kuna muda ataanza hadi kuzomewa kabisa.
 
Hata baba yako sisi ndio tumekufanyausimwite baba unamwita dingi? na wewe ukakubali?
ukimwita babako dingi kwa malezi yako ya kipumbavu unafikir kila mtu anamwita babayake dingi kama unamwita babako dingi hilo ni tatizo la malezi ya mamako na babako wengine wenye malezi safi huo upumbavu hawawez fanya labda wawe uvccm maana hao walishakosa malezi.
 
habari za mchana,

Kichwa cha habari cha jieleza hapo juu, hivi kwanini vyeo hivi vimekuwa vya kawaida sanaa tofauti na zamani?

Zamani watu wenye vyao hivi walikuwa watu wanaoheshimika sanaa katika jamii, yaani DC akitoa order si kwa watumishi au wananchi lazima ifuatwe mara moja lakini siku hizi ni kinyume chake.

Leo nilikuwa nafuatilia kikao cha Waziri Mkuu huku Tandahamba, yanii DC anatoa maelekezo hakuna anaejali; si DED wala watumishi wa chini yake hadi Waziri Mkuu akalikeme hilo.

Pia kuna mahala nimeona wananchi kwenye mkutano wanampa maneno ya kashfa DED kiongozi hadi RC wake akaamua kuingilia kati ndo wananchi wakatulia, tatizo nini? Matukio ni mengi sanaa hiyo ni michache tu.

Mifumo imechoka au haifanyi kazi kabisa.

NJOO TUJADILI.
Vyeo vimejaa walamba matako wa CCM tupu
 
Mtu mwenye akili yako nzuri na maadili huwezi kupoteza muda wako na hao watu.

Hao ni makada wa CCM, tena mara nyingi wanatafutwa makada wenye akili kibaba wanapewa uDC au uDED, halafu wanabakia kuendesgwa na kuamrishwa na viongozi wa CCM.

Mtu mwenye uwezo wako wa akili na kimaisha huwezi kufanya kazi za kudhadhalishwa kama hizo.
 
Back
Top Bottom