Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,787
- 2,233
Na yule ma kigamboni dada yule na mwingine Comedian yupo mara wote hao ma chawa hakuna kituJoshua Nassari, Lijualikali, Dr Mashinji, Muhogo Mchungu, Mtatiro nk

Vyeo hivi havijashuka thamani, bali kiukweli ni havina any relevancy, huu ni muendelezo wa colonial mentality, ma RC na wakurugenzi wanatosha, na DC na ma DAS na ma DED ni wastage of money and resouses.habari za mchana,
Kichwa cha habari cha jieleza hapo juu, hivi kwanini vyeo hivi vimekuwa vya kawaida sanaa tofauti na zamani?
Ukiteuliwa leo utakataa ikiwa kila siku unajipositionVyeo hivi havijashuka thamani, bali kiukweli ni havina any relevancy, huu ni muendelezo wa colonial mentality, ma RC na wakurugenzi wanatosha, na DC na ma DAS na ma DED ni wastage of money and resouses.
P
Nakazia tu, hata kuchagua wasio stahili, zamani tulizoea watu wa kushika nyazifa hizo ni watu wenye heshima zao lkn alipoingia jamaa akavunja huo mwiko, ndio tukaanza kuona akina Makonda, mara Happi, mara Mwigelo nk. Toka hapo vyeo hivyo vikashuka thamani.Machawa, ila pia Burigi alichangia sana kuwashusha thamani full kuwafokea fokea mbele ya kadamnasi
Pascal, tunatengeneza ajira, huko kwenu kuna mhahiri, mwandishi, ripota nk nk kwani vyote hivyo mhariri si anaweza kuvifanya. Na kule ulikoenda, wakili, mwansheria, karani, masijara,jaji hakimu nk. si vyote jaji mkuu anaweza kuvifanya.Vyeo hivi havijashuka thamani, bali kiukweli ni havina any relevancy, huu ni muendelezo wa colonial mentality, ma RC na wakurugenzi wanatosha, na DC na ma DAS na ma DED ni wastage of money and resouses.
P
Hakuna mtu asiye na heshima duniani hapa au ulimaanisha kuheshimika maana hivyo ni vitu viwili tofautiNakazia tu, hata kuchagua wasio stahili, zamani tulizoea watu wa kushika nyazifa hizo ni watu wenye heshima zao lkn alipoingia jamaa akavunja huo mwiko, ndio tukaanza kuona akina Makonda, mara Happi, mara Mwigelo nk. Toka hapo vyeo hivyo vikashuka thamani.
Tulizoea maDC kuwa watu wazima wwnyenheshima zao. Aliyeanza kuteua wavulana na wasichana tena wengine wasanii tu wa vichekesho ndiye aliyeshusha thamani ya cheo hicho.habari za mchana,
Kichwa cha habari cha jieleza hapo juu, hivi kwanini vyeo hivi vimekuwa vya kawaida sanaa tofauti na zamani?
Zamani watu wenye vyao hivi walikuwa watu wanaoheshimika sanaa katika jamii, yaani DC akitoa order si kwa watumishi au wananchi lazima ifuatwe mara moja lakini siku hizi ni kinyume chake.
Leo nilikuwa nafuatilia kikao cha Waziri Mkuu huku Tandahamba, yanii DC anatoa maelekezo hakuna anaejali; si DED wala watumishi wa chini yake hadi Waziri Mkuu akalikeme hilo.
Pia kuna mahala nimeona wananchi kwenye mkutano wanampa maneno ya kashfa DED kiongozi hadi RC wake akaamua kuingilia kati ndo wananchi wakatulia, tatizo nini? Matukio ni mengi sanaa hiyo ni michache tu.
Mifumo imechoka au haifanyi kazi kabisa.
NJOO TUJADILI.
Wakitaka heshima yao irudi ,tuwachague sisi wananchi..RC achaguliwe,DC ondoa hiki cheo,Mbunge chagua,Diwani chagua..DED aajiriwe na Halmashauri husika baada ya kufanyiwa interview nzito,na mchakato uwe wa wazi na shindani
Hapana. Mzee Wassira aliwahi kuwa Naibu Waziri wakati wa Mwalimu akiwa na miaka 28. Issue ni baadhi kushindwa kuwajibika kwa umma na kufuata miiko na maadili ya utumishi. Na hawasomi history ya wazee wetu waliokuwa MADC na Ma RC bora waliwezaje. Hawajui cheo cha umma ni dhamana na kukosa shule ya leadership. # Samahani kusema hayo.🙏🙏🙏Tulizoea maDC kuwa watu wazima wwnyenheshima zao. Aliyeanza kuteua wavulana na wasichana tena wengine wasanii tu wa vichekesho ndiye aliyeshusha thamani ya cheo hicho.
Hawafiki vijijini kuwatembelea wananchi, kujua matatizo yao na kuyatatua, hawatembelei miradi ya maendeleo na kubaini mapungufu hadi Majaliwa afike kwenye wilaya zao ndio abaini madudu. Kazi yao kubwa ni kutengeneza majungu hapo ofisini ya kuwasema wabunge na madiwanihabari za mchana,
Kichwa cha habari cha jieleza hapo juu, hivi kwanini vyeo hivi vimekuwa vya kawaida sanaa tofauti na zamani?
Zamani watu wenye vyao hivi walikuwa watu wanaoheshimika sanaa katika jamii, yaani DC akitoa order si kwa watumishi au wananchi lazima ifuatwe mara moja lakini siku hizi ni kinyume chake.
Leo nilikuwa nafuatilia kikao cha Waziri Mkuu huku Tandahamba, yanii DC anatoa maelekezo hakuna anaejali; si DED wala watumishi wa chini yake hadi Waziri Mkuu akalikeme hilo.
Pia kuna mahala nimeona wananchi kwenye mkutano wanampa maneno ya kashfa DED kiongozi hadi RC wake akaamua kuingilia kati ndo wananchi wakatulia, tatizo nini? Matukio ni mengi sanaa hiyo ni michache tu.
Mifumo imechoka au haifanyi kazi kabisa.
NJOO TUJADILI.
Vetting ni ya hovyo Sana! Chama cha mambuzi!habari za mchana,

KATI YA VYEO VYA HOVYO NCHI NI DChabari za mchana,

Aina ya wateule imechangia 60%, na aina ya mtawala nayo imechangia 40%
Imagine unateua watu wasio na uzoefu wa uongozi kama wasanii wa Bongo Fleva, ma miss wastaafu, Wasanii wa Bongo Muvi, waandishi njaa wa habari, uvccm, waganga wa kienyeji, watoto/ndugu/marafiki/shemeji/vimada/wakwe/ wa watawala, wahudumu wa bar, wachawi, chawa, kunguni, na kila aina ya takataka! Kisa tu ni makada wa chama tawala.
Halafu wale wakuu wa idara wenye uzoefu kazini, wanawekwa pembeni!
Heshima itatoka wapi?
Binafsi naona Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, ndiyo mwarobaini wa huu upuuzi.
Tafsiri yako iko sahihi kabsa wala hujakosea.Hakuna mtu asiye na heshima duniani hapa au ulimaanisha kuheshimika maana hivyo ni vitu viwili tofauti
Maboso wanapewa ulaji.Joshua Nassari, Lijualikali, Dr Mashinji, Muhogo Mchungu, Mtatiro nk