baraka3
Senior Member
- Aug 10, 2014
- 108
- 72
Habari za saa hizi wadau, natumaini mko poa ..
Niende moja kwa moja kwenye mada, ni hivi Jiji LA Arusha ni jiji ambalo lina uzuri wake kuanzia mandhari mpaka tourism gateway.. Sasa kitu kinacho nihuzunisha zaidi ni kutokuwa na TV station hata moja.....
Kichwani najawa na maswali mengi labda wafanyabiashara hawajaona hyo fursa bado, ama wamiliki wa radio stations kama vile triple A FM,Safina radio, radio five just to mention few wameshindwa Ku afford costs za kujenga na kurusha matangazo ya TV??
Kuna vitu vingi sana vinafanyika Arusha lakini vinakosa coverage coz TV stations za mikoani hazirushi hzo events...
Pia ningependa kujua gharama za kujenga TV station ya kisasa na kurusha matangazo...
Karibuni kuchangia
Asanteni.