Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Habari wanajamvi?
Ninaandika mada hii nikiwachambua baadhi ya vijana wa ukawa kuwapima je wangeweza kutumikia ofisi za umma endapo "ukawa"..ingebahatika (asante Mungu kwa kutuepusha)..kushika dola.
1.Yeriko Nyerere?..huyu aliyewahi kupamba "wall page" yake na maneno kuntu..."kataa fisadi luwasa asiende ikulu" mara mia...ghafla kwa malipo ya Ipad na vifurushi vya intaneti...katumtupa Dr.Slaa na uzalendo kule...akawekwa kwenye "payroll" ya mikocheni....ni unafiki wa daraja la kwanza...huyu ukimpa u dc atakula tu hela za wafanyakazi hewa.
2.Ben Saanane angefaa u DC?..ni mmoja wa wasaliti wa mabadiliko ya kweli,vipande vichache vya shilingi vilionyesha rangi zake...mbinu yake ya kujenga ushawishi kwa kutengeneza migomo na maandamano feki (rejea rombo akiwatetea wanywa viroba)..tungekuwa na kiongozi "boga" na mwomwongo!
3.Julius Mtatiro DC?..huyu ahadi ya kuachiwa jimbo na hela ya kampeni vilimfanya amtukane Prof.Lipumba kwa uamuzi wa kuachana na ufisadi,wanasegerea hawakupenda tamaa zake...wakachagua madiwani ukawa...yeye wakachinja koromeo kwa wembe...amebaki kulia lia hujuma...siasa hazihitaji kura za kuunga unga ndio ushinde....kama unakubalika hata uwe na wapinzani mia utashinda.
4.Malisa,G..DC?....huyu anayetangaza nia kugombea ubunge FB anapata like 500...kisha anapata kura 6,...hana anachokiamini...yeye husubiri maelekezo ya mbowe na kutenda....
5.Mnyika waziri wa nishati?..hapana nenda shule,ulijinasibu kwa tamko kuwa JK anamlinda EL,2012..na ukatapa una ushahidi...matokeo yake umeushia unafiki wa daraja la juu..
Ninyi pamoja na kundi kubwa la vijana wa ukawa mmeonyesha kuwa bei yenu ni chee,ni vijana msio na msimamo wala itikadi,Mtatiro katibu wa ukawa...kwa "ujira"..mdogo umetumikia waliopinga ukawa...eti Kingunge aliyetumia zaidi ya saa moja kupinga maoni ya wananchi....akakuamuru uzungushe mikono...?..kwa akili hizi..Mbowe ataleta yeyote mliyemtukana na ninyi kama kawaida..hata akiwaambia mzungushe viuno mtafanya.
Wazee wetu waliodai uhuru kamwe hakuhitaji msaada wa wazungu kumwondoa mkoloni,Nyerere ilibidi aache kazi aingie kwenye mapambani...ninyi tumbo kwanza mengine baadae.
Andiko hili ni kwa ajili yenu kujisahihisha na sio vinginevyo.