Mkuu kweli ni wachafu siyo wanaume wala Mwanamke yani wachafu wa Mazingira, Mwanamke wa kipemba anaweza kukaana vyombo vichafe wiki, uchafu wa Nyumba ndiyo balaaa.Wakuu kwema?
Kuna mpangaji mwenzangu ni mpemba kahamia hapa kwetu.
Dah,hawa watu ni wachafu asee..
Hivi huko pemba somo la hygiene halijawafikia?
Anapika mboga bila mafuta.Elezea huwa anafanya nini mpaka umuite mtu mchafu
You can't be seriousAnapika mboga bila mafuta.
HakikaUngetakiwa useme huyu mpangaji mwenzangu ni mchafu....na sio kutaja jamii nzima na watu wote wa jamii hiyo ni wachafu kwa mfano wa mtu mmoja uliyepanga naye......
Unawakosea heshima wapemba otherwise Una jambo lingine ovu dhidi yao