Hivi Kwa Nini Wanawake Wengi Hawa...

Hivi Kwa Nini Wanawake Wengi Hawa...

Habarini Wakuu
Katika kupitapita huku na kule nimekuwa najiuliza hili swali kwa nini katika vilabu vya pombe na kumbi mbalimbali za starehe kuna idadi kubwa ya wanaume, kwa nini wanaume ndio walevi sana kuliko wanawake.
.
Kwa nini wanaume ndio walevi zaidi kuliko Wanawake....??
.....
Kwa sababu wanaume siku hizi bahili ile mbaya. Hawataki kuwatoa wanawake. (Jokes!!!)
 
Back
Top Bottom