Hivi Kwa Nini Wanawake Wengi Hawa...

Hivi Kwa Nini Wanawake Wengi Hawa...

Director D

Senior Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
192
Reaction score
229
Habarini Wakuu
Katika kupitapita huku na kule nimekuwa najiuliza hili swali kwa nini katika vilabu vya pombe na kumbi mbalimbali za starehe kuna idadi kubwa ya wanaume, kwa nini wanaume ndio walevi sana kuliko wanawake.
.
Kwa nini wanaume ndio walevi zaidi kuliko Wanawake....??
.....
 
Moja ya sababu ni kuwa wanaume wengi ndio walikua watafutaji na ndio wenye hela
 
Kwa tamaduni zetu mpaka miaka ya karibuni au hata leo wanaume ndio wenye vyanzo vya mapato au ndio watunza pesa za familia hivyo kuwapa nafasi ya kuwa na pesa ya kutumia bila kuhojiwa.
 
Ukifikiria jinsi ya kuendesha familia inayokusubiri nyumbani, ni bora upitie kilabuni tu upunguze mawazo kidogo hah hah
 
kichwa cha habari na kilichoandikwa nitofauti sijui mimi ndiyo sijaelewa
 
Mkuu mi nahisi wanawake hawana pesa ukilinganisha na wanaume.Pia wanaume wana uhuru wa kuwa maeneo hayo kuliko wanawake.Pia kwa mila zetu wanawake wakionewa maeneo hayo huchukuliwa sio.Asante
 
Back
Top Bottom